Hakuna kazi laini kama kilimo

Hakuna kazi laini kama kilimo

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Kilimo ni kazi inayotoa sana. Ukilima ukawa serious kabisa , mtumishi wa umma na kamshahara kake hamna kitu kabisa. Ukilima maeneo yenye maji yanayotirika kwa gravity muda wote unatoka haraka sana.Na ukizingatia mazao mengi yanachukua miezi 3 mpk 5 tayari hela ipo makalioni.

Kilimo cha umwagiliaji kwa mifereji ya asili ni kizuri sana. Mbogamboga hasa vitunguu vinatoa watu sana.

Hakuna kazi rahisi kama kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimo cha kwenye PDF bana, rahisi sana

Heka moja ya matikiti ina uwezo wa kutoa matikiti 10,000 ambapo kila kitikiti ukiamua kuuza kwa bei ya haraka ni 2,000Tshs kwahyo ukichukua idadi ya matikiti 10,000 X 2,000Tshs = 20M ukitoa laki 4 ya uzalishaji unabakiwa na 19.6M

Wakupe na vipeperushi vyao sasa! Mapicha kibao, ingia field ndio utajua kwa nini mkulima anazaraulika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimo ni kazi inayotoa sana. Ukilima ukawa serious kabisa , mtumishi wa umma na kamshahara kake hamna kitu kabisa. Ukilima maeneo yenye maji yanayotirika kwa gravity muda wote unatoka haraka sana.Na ukizingatia mazao mengi yanachukua miezi 3 mpk 5 tayari hela ipo makalioni.

Kilimo cha umwagiliaji kwa mifereji ya asili ni kizuri sana. Mbogamboga hasa vitunguu vinatoa watu sana.

Hakuna kazi rahisi kama kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sentensi ya mwisho ni utata. Binafsi ni mkulima tena mzoefu. Sikubaliani nawe kuwa "hakuna kazi rahisi kama kilimo".

Nnaamini kuwa kilimo ni kazi nzuri sana lakini si kazi rahisi.
 
Kilimo cha kwenye PDF bana, rahisi sana

Heka moja ya matikiti ina uwezo wa kutoa matikiti 10,000 ambapo kila kitikiti ukiamua kuuza kwa bei ya haraka ni 2,000Tshs kwahyo ukichukua idadi ya matikiti 10,000 X 2,000Tshs = 20M ukitoa laki 4 ya uzalishaji unabakiwa na 19.6M

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha.

Mara ya kwanza kulima matikiti, nililima eka tatu. Yakawa mazuri, makubwa. Siku ya kukaribia mavuno yapo yaliyowahi kukomaa, nikachukuwa moja kwenda kujinafasi. Duh, nakata limetoka tikiti jeupe kabisa ndani, hakuna wekundu hata kidogo. Kulionja, hakuna utamu wala harufu ya tikiti hata chembe.

Ikabidi tuchukuwe lingine, hivyo hivyo. Nikachuma mawili matatu sehemu tofauti ya shamba, hivyo hivyo.

Nikachukua sample nikapeleka kwa bwana shamba Mkuranga wilayani. Akacheka, akanambia mama wamekuuzia mbegu siyo.

Nikawa hoi bin taabani.
 
Kilimo ni kazi inayotoa sana. Ukilima ukawa serious kabisa , mtumishi wa umma na kamshahara kake hamna kitu kabisa. Ukilima maeneo yenye maji yanayotirika kwa gravity muda wote unatoka haraka sana.Na ukizingatia mazao mengi yanachukua miezi 3 mpk 5 tayari hela ipo makalioni.

Kilimo cha umwagiliaji kwa mifereji ya asili ni kizuri sana. Mbogamboga hasa vitunguu vinatoa watu sana.

Hakuna kazi rahisi kama kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaota wewe kulima kazi rahisi, ujawahi kushika hata jembe, Mananasi yanavyo choma miba yake ukitoka hapo unauza Mia tano moja.
 
Back
Top Bottom