Povu la nini? kuna kitu gani cha maana hapa kaandika? frastrutions tu za kukosa ubunge, this is bull shit, hatuwezi kwenda mbele kwa kutegemea watu wa aina kama yenu. akili yenu imgenda sana, nchi ilikuwa inamtafuta mtu wa aina kama ya Magufuli, mlituaminisha mengi ambayo yakakuwa proveed wrong, muacheni bwana mzee wa watu akanyage twende, mtasubiri sana, mlisema nchi haiendi ssa inaenda, tulishawahi kuwashauri kuwa, kwa style ya magufuli na speed yake inabidi upinzani waje na sera mbadala, mkija na maneno yenu amarahis kama haya, mtasubiri sana, mission zenu mnaweza kukuta zinakuwa fulfilled na vizazi venu vya nne,
changieni mambo ya maana ya kukosoa serikali just in BOLD kama alivyokuwa anafanya DR SLAA, SIO HUU UPUUZI WENU.