Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,103
Kufikiri ya kwamba Serikali inayotokana na C.C.M Inaweza kubadilisha Taifa hili na kuwataifa lenye uchumi imara,Usawa nk, Ni sawa na kufikiri utaiona PEPO wakati jirani yako analala njaa huku wewe ukiwa unatupa chakula kwakuwa kimeoza.
Watumishi ndiyo wanasulubiwa kwa mfumo mbovu uliyotengenezwa na serikali ya C.C.M miaka nenda rudi, Huku Wakubwa wakipatwa na kashifa kibao wakiendelea na maisha bila wasiwasi, Hebu Kashifa ya Mtoto wa Rais wa Awamu ya Nne, Hebu ona kigogo wa jeshi la polisi kuwa na majengo makubwa zaidi ya 40, Hebu ona Waziri wa serikali inayojiita inatumbua majipu kuwa na Kashifa.. nk... Serikali imekaa kimya na Watanzania tunaimbishwa Wimbo wa kutumbua majipu na sisi Tunaimba bila kuhariri mashairi ya nyimbo.
Maigizo mengi zaidi yanakuja, Kilichofanyika Nikupewa gari lile lile bovu likiwa na Ndereva mwingine then unategemea Gari litageuka kuwa jipya.