Akili za bavicha dah......bora kingunge,luwasa,sumaye ndio wana mawazo mapya?..mmekuwa kichwa cha mwendawazimu,Mbowe ana bahati anawaongoza wajinga.Ni ufala kudhani watu walileta matatizo eti watayaondoa.huyu magu ana experience 20yrs na ccm wakitujazia umasikini,leo eti majipu,jipu mwenyewe
Kufikiri ya kwamba Serikali inayotokana na C.C.M Inaweza kubadilisha Taifa hili na kuwataifa lenye uchumi imara,Usawa nk, Ni sawa na kufikiri utaiona PEPO wakati jirani yako analala njaa huku wewe ukiwa unatupa chakula kwakuwa kimeoza.
Watumishi ndiyo wanasulubiwa kwa mfumo mbovu uliyotengenezwa na serikali ya C.C.M miaka nenda rudi, Huku Wakubwa wakipatwa na kashifa kibao wakiendelea na maisha bila wasiwasi, Hebu Kashifa ya Mtoto wa Rais wa Awamu ya Nne, Hebu ona kigogo wa jeshi la polisi kuwa na majengo makubwa zaidi ya 40, Hebu ona Waziri wa serikali inayojiita inatumbua majipu kuwa na Kashifa.. nk... Serikali imekaa kimya na Watanzania tunaimbishwa Wimbo wa kutumbua majipu na sisi Tunaimba bila kuhariri mashairi ya nyimbo.
Maigizo mengi zaidi yanakuja, Kilichofanyika Nikupewa gari lile lile bovu likiwa na Ndereva mwingine then unategemea Gari litageuka kuwa jipya.
Henry Kilewo
huyu ndio super woman joyce kiria..teh teh teh tehMsomeni mkewe hapa huyu anaetaka kutuvusha ndio mjue awa ni watu wa aina gani
majaliwa hawezi kuwa rais wewe..acha bangeWewe Kilewo ni muumini wa mtu fulani wala huna lolote, kwa sasa wananchi wanaelewa na wanaona juhudi zinazoendelea, ingekuwa kosa kubwa sana kuwaweka UKAWA ikulu mngetuibia sana, na kwa sasa pigeni porojo zenu ila Ikulu jaribuni 2035 maana 2025 ataingia Kasim Majaliwa.
jamani huyu ndo mke wa Kilewo! ptuuu! mumeshaharibu jukwaa tayari.Hahaha! Daaah!
![]()
Kilewo hapa anatudanganya alitaka ubunge atuvushe mkewe anafunguka mengineHahahaha..comment zinanichekesha sana...wanawake wengine kuwaoa inahitaji moyo sana...
teh teh kwa hiyo kilewo alitaka ubunge ili akafanye shoping na mkewe ulaya...hahaha halafu ndio anajiita mzalendo huyo hatari sana
Teh teh teh teh wamekimbia uzi na vijana wake mambo yamekuwa magumu.teh teh kwa hiyo kilewo alitaka ubunge ili akafanye shoping na mkewe ulaya...hahaha halafu ndio anajiita mzalendo huyo hatari sana
Ni majasusi wa kisiasa wale. Wameiua CDM kimtindopoor mind kuitegemea ccm kutuvusha hapa tulipo.....
upinzani ulitegemea wanaccm hao hao kutuvusha tena wakiongozwa na waliozeekea ccm Lowassa Sumaye kingunge masha kwelileo unakuja na andiko lako hapa...
Tanzania tutaokoka na ccm siku tukipata upinzani unaojielewa na unaoheshimu watu wake....
2015 tuliona kudhalilishwa kwa BAVICHA kwa hali ya juu kupitia marafiki wa lowassa na friend of Lowassa kuteka kampeni nchi nzima watu walewale wa ccm ....
kaka kileo kumbuka viongozi wetu wa upinzani ndo wanawaamini ccm kuliko watanzania kwa kuchukua scrapers from ccm eti ndo zitusaidie ... huu ni upumbavu
SIKU TUKIJIHESHIMU NA KUTHAMINI MAWAZO YA WANACHAMA KAMA UPINZANI TUTAENDELEA NA KUSHIKA DOLA
mku hongera hii kitu ndio yenyewe.
Naanza kuelewa kwanini huyu mama alimkimbia dj nelly wa clouds fm akaja kwa muishiwa mbunge Kilewo! Na kaishiwa haswa huyu ndugu!