Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye



Mkuu tunawapenda Baba zetu lakini hatupendi ujinga na maovu yao. Tutawajibu kwa adabu, upole na kuwatendea mema lakini si kuzidi uwezo wetu. Hata wewe sasa fanya kazi, wekeza ili baadaye usiwe mzigo kwa wanao na wajukuu. Mbona iko wazi sana.
 
Mgane ni nini? Huyo baba na mtoto wana umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…