Hakuna husband material...

 
 
hebu niletee mmoja, mimi natafuta mwenye vigezo hivyo, tafadhali the boss
 
Kuna jambo moja naliona; maada imeanzishwa na watu wasio na tatizo hilo-wanaume. Je; wanawake wameshaona kuwa hili ni tatizo? Au ni hiyo dhana kwamba wao(wanawake bado wanataka usawa lakini hawajitokezi mbele ). Kuhusu elimu-kwamba wamesoma; wana kazi nzuri -na bado hawaolewi; ningependa kukumbuka maneno ya Mzee Ruksa-"Kuna watu wamesoma; lakini hawajaelimika". Wataalamu wa emotional and social intelliegence wanaweza kuchangia zaidi kwenye hili.

Ninaunga mkono wale waliopendekeza kufanya utafiti kwenye hili na ningeshauri pia watazame madhara ya kuchelewa kuoa katika kutunza watoto. Nahisi kuna wastaafu wengi wanaopata taabu sana kwenye kutunza watoto wao ambao bado wako shule/vyuoni. Na hili kwa mtazamo wangu naliona ni tatizo hasa kwa waliokuwa watumishi waandamizi katika ofisi zetu za umma.
 
Wanaume mbona wapo.... tatizo ni wanaume wa aina gani...happ ndio changamoto!!!!
 
Ofcourse una make sense Kwa hizi hoja zako ambazo zimebeba maudhui ya kuihoji taasisi ya ndoa kwa muktadha wa mahusiano ya vijana wa sasa ila nadhani msingi wa hoja zako upo nje ya misingi halisi ya taasisi ndoa.

Unajua ndoa kama taasisi nyingine ina qualifications zake ambazo ni very specific na hazipo biased wala za kibabaishaji kama namna umezungumzia. Shida inakuja na waingiaji wa ndoa na namna wamejiandaa.

Unajua tofautisha vigezo vya Kimsingi vya mtu kuwa navyo kama mwanandoa in general na namna utabehave as mke au mume wa mtu individually baada ya kuingia ndoani kulingana na malezi na makuzi yako uliyopitia kutoka katika familia yako na wazazi wako.

Unajua ni mfano unapokwenda kufanya kazi kwenye taasisi yoyote ile,mathalani bank for all the wrong reasons. Hii taasisi inazo values zake, principals, mission, objectives, goals, na kadhalika.

Unapokwenda join hiyo taasisi ni lazima uwe umeshapitia madarasa kadhaa yatakayokuwa yamekupa vyeti kama sifa mojawapo na qualifications za kujoin hiyo taasisi.

Therefore, utakapoijoin ni obviously utasikiliza maelekezo ya wakuu wa hiyo taasisi wakikupa muongozo wa namna ya kutenda majukumu yako na kufikia malengo ya taasisi hiyo kupitia kitengo chako cha kazi.

Haya yote utafanya in exchange kupata rewards za taasisi hii ambayo umeamua kujoin.

Sasa nadhani wewe inabidi ujihoji kuwa je unaielewa hii taasisi kivipi na kwa muktadha upi. Tukianza na MUNGU, je unatambua mamlaka yake katika maisha yako , au na wewe ni wale wale non-believers wanaosema MUNGU hayupo yet wanaishi kwa matumaini sasa Huwa najiuliza logic ya kukataa uwepo wa MUNGU kisha ukaamini kesho yako na mambo yako yanakwenda tu bila any type of control or management force isiyoelezeka kirahisi.
 
Hekima na tamaa huwa havikai sehemu moja, ukiwa na kimojawapo kuwa tayari kuachia kingine ama sivyo vitakupasua kichwa......
 
Nadhani pia hata wale wanaoamua kuishi bila kuoa hawawezi kutoa conclusion kwamba ndoa ni overrated. Maana kama huna uzoefu, utakuwa na tafsiri nyingi ambazo nyingine zinasababishwa na uoga wako mwenyewe au just hypothetical thinking.
Whats the point ya kuishi na mtu partly kwasababu ya mahitaji ya kibinadamu and yet unaikana ndoa wazi wazi?!

Huwa sielewi kwann wanaosema ndoa ni tatizo ila kutwa kucha kugusanisha vikojoleo na watu tofauti kiwizi wizi huko vichochoroni.

Kama unasema wewe haupendi kula au kupika, masufuria unaweka ya kazi gani .....
 
mi niko mbioni kuoa mmoja na niko tayari kuwa sitiri wengine
but mimi peke yangu sitoshi.....
inaonekana husband material tupo wachache sana.
Na umetumia neno zuri, Material. But ndoa sio haina msingi wa material.... Ni spiritual....
 
Umaliza kila kitu. Kwa kifupi umesawazisha mada na kwa wote watakaosoma hapa watapata majibu yao sahihi.
 
Nadhani haujamuelewa jamaa. Amesema "unrealistic expectations". Kwa maneno mengine ni kuwa na matarajio yasiyo na maana.

Mfano unakuta mdada anasema hivi, mimi natafuta mwanaume tajiri, mrefu, mweusi, mwenye sauti nzito, mpole, anayejiweza kiuchumi, awe smart kichwani, awe good kitandani, anione mimi tu na asivutiwe na mwanamke mwingine akiwa na mimi, etc.
Sasa ukitazama hizi expectations Kimsingi kutumika kama msingi wa mahusiano then masikini huyu binti kwanza hatofanikiwa kwasababu itabidi afanye audition kwa gharama ya muda wake, mwili wake na utu wake katika kutafuta huyo mwanaume wa kuwa hata na hizo sifa zote kwa asilimia 60%. Mind u muda ni adui mkubwa sana wa mwanamke asiyeishi kwa malengo sahihi na mipango, the biological clock and the age wall is a real nightmare kwa akina dada wa kisasa.

Imagine kuna wadada wana 30+ now na hawapo ndoani, hawana watoto wala serious partner. Yote ni matokeo ya hizi unrealistic expectations za kufukuzia Hollywood romantic ideas kuhusu maisha ya kisasa.

Ukiwa serious maisha yako yatakaa sawa.
 
Umesema sahihi kabisa. Na hii ndio unrealistic way ya kuishi.
 
Kipi kinatangulia? Ofcourse unaanza na mwanamke halafu unamtengeneza kuwa mke.Hao watengezeaji wapo?
Kuna mtu anakwenda hotelini kisha anaanza kutengeneza Chakula chake mwenyewe kisha alipie mwishoni, au aende kiwanda cha magari kisha aunde gari mwenyewe kisha alipie kulinunua na kulitumia.....?!

Mmmmmmhmn, then now unaweza elewa why hakuna muda wa kuoa na kuanza kujenga mtu kiakili.
 
mi niko mbioni kuoa mmoja na niko tayari kuwa sitiri wengine
but mimi peke yangu sitoshi.....
inaonekana husband material tupo wachache sana.
Nipigie pande watatu, nataka niwe nao wanne au kama vipi wote waliosalia naweza kuwamudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…