Hebu tukumbushe. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapumzika mara ngapi katika maana mmoja? Anza na January 1, Siku kuu ya kuzaliwa CCM, pasaka ina siku 2 za mapumziko, Medi Mosi, saba saba, siku 2 za Idd Elfitri, n.k. kama Nyerere alishindwa kuzuia tusipumzike kwenye misiku yote hiyo kwa nini tusipumzike katika siku yake ya kumbukumbu?