Hakuna haja ya Nyerere Day

Yule adui anaepanda magugu kwenye shamba la ngano anaendelea na kazi yake!!
Yaani Huyo Mohamed side anaijua Historia ya taifa hili kuliko A.H.Mwinyi, Salim A slim n.k....upuuzi mtupu!
 
Bila Nyerere usingeweza kuandika huu ugoro.. sote tunakubali mwalimu hakuwa peke yake kataika harakati za kudai uhuru lakini..mwalimu alikuwa mstari wa mbele.. hata wazee wako wa gerezani wanafahamu hili..na huu ndio ukweli ukubali ukatae
 

Kweli Mohammed Said kakushika akili, Rudi shule ukasome vitabu vya waandishi wanaoeleweka sio makala za Mohammed zilizojaa uchochezi na kejeli!
 
Ndugu yangu ukila na kushiba usisahau kufikiri vizuri na kumkufuru Mungu.

Kama huoni mazuri ya nyerere nenda kawaulize wakimbizi wa Burudi, Kongo kule kigoma.

Lakini Kama inakuuma kumkubuka Nyerere sisi wa Tanzania, isiwe nongwa basi hata wewe ukifa tutakukumbuka kwa kuposti mawazo yako haya.
 
Mkuu 7mil naziona hapa [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
Mtoa post ana wivu sana unauliza nyerere kalifanyia nini taifa harafu wakati huo huo anatambua mcjango wake ktk kuhakikisha nchi za afrika zinakua huru, je wewe kama wewe mnamcjango gani hata kwa familia yako tu maana hata mtaa unaokaa hawakujui..kweli nimeami kichaa huwacheka zaidi wenye akili akiamini kua ndo vichaa mtu ambae hata mlo wake tu ni wakubahatisha anampima mtu ambae alukua hata akisimama kuhutubia umoja wa mataifa wazungu wanajua raisi wa afrika anaongea we saizi yako ni kijiweni tu na sio hapa hapa wanahitajika watu sio mfano wa mtu.
 
we nawe! dunia nzima inaujua mchango wake kijamii kitaifa na hata kiimani,we leo hii unatokea kusiko julikana nakusema hana mchango wowote, uone na aibu rafiki yangu!
 
Pole.
 
mkuu
kwa wale tulio anza kupata ufahamu miaka ya83-84 tunakumbuka hata kula unga wa njano almaarufu yanga na kunywa chai ya pipi na kufulia harita viatu vta matairi almaarufu masaka nyoka.pia ukombozi kusini mwa afrika,tuta mkumbuka kwa kuhimiza umoja wa kitaifa n.k n.k
 
Hebu tukumbushe. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapumzika mara ngapi katika maana mmoja? Anza na January 1, Siku kuu ya kuzaliwa CCM, pasaka ina siku 2 za mapumziko, Medi Mosi, saba saba, siku 2 za Idd Elfitri, n.k. kama Nyerere alishindwa kuzuia tusipumzike kwenye misiku yote hiyo kwa nini tusipumzike katika siku yake ya kumbukumbu?
 
hana llte zaidi ya kutuachia nchi mbovu inayoitwa jamhuri ya muungano ni kiini macho tu!
Mwalimu aliweka misingi, ile misingi hakuwa Misahafu, wa kuibadilisha ni sisi wananchi. Unamlaumu Nyerere aliyekufa 99 wakati mwaka Jana tu umeichagua CCM inayoukumbatia muungano huo huo usioutaka? Be fair to Mwalimu
 
Well, nijuavyo jina sahihi ni Nyerere Death Day.

Sioni sababu ya kutosherehekea siku ya kifo cha Nyerere kama kilivyowekwa rasmi kitaifa.
Jazakallah Kheir. Alama alizoacha Nyerere uwe unazipenda au huzipendi, itaendelea kuishi miaka mingi ijayo. Pole yao wote wanaokereka na kuumia pindi wasikiapo jina la Julia's Nyerere
 

Ilo swali kabla hujalileta huku, ningependa kama ungemuuliza Babu/Bibi yako aliyemzaa Baba/Mama yako mzazi, alafu uje utupe jibu watakalotupa
 
wewe na watu wako hao sita poleni sana. na ni ninyi ndio mnaotumiwa na mtu amabe namfahamu vixuri sana kupolute image ya mwalimu nyerere. lakini mtashindwa tu pamoja na kutumia nguvu nyingi kupita kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…