assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Siyo bure, yaani kwa ujinga ulioandika hapa, lazima utakuwa na matatizo makubwa sana kwenye akili yako.Rais Nyerere hafai kukumbukwa kwa lolote
ukisema kaleta Uhuru kasome makala za Mohammed said utaelewa kazi ya viongozi wa TAA juu ya Uhuru na kazi ya Nyerere.
Nani alimruhusu kusema nchi haina dini halafu akatupa wimbo wa taifa tumuombe Mungu. nani alimruhusu kuwa tunataka ujamaa? alifanya referendum wapi? Nani alimruhusu kutaifusha Mali za watu,viwanda,viwanja,mashule,vyuo,nk?Nan alimruhusu kukusanya watu kwenye vijiji na maroli huku wakiwa chini ulinzi kwa waliopinga.
Nan alimruhusu kuua demokrasia na kpiga marufuku vyamavingi. serikali yake ikajaa umangimeza, hakuna wakuihoji, zikadumu fikra za mwenyekiti kwa mdamrefu, nan alimruhusu?
Akatumia rasilimali na fedha za chi kukomboa bara zima la afrika bila kuweka mkataba kuwa fedha zile sio zake Bali za wananchi kwa hiyo wakipt Uhuru wao wazirudishe matokeo yske hata south Africa tuliowasaidia wenyeji hawataki wahamiaji na wanawaua, je rasilimali zetu zilizowanufaisha sisi tumenufaika na nini?
Nina mengi sana lakin ngoja niachie hapa, sasa najiuliza Nyerere tunamkumbuka kwa lipi hata tuweke eti Nyerere day?
Tafakari
Yaani wewe ukiisha msoma huyo Mohammed wako baaaaasi. ...Dunia yako inaishia kwa huyo bwana, na kwingineko hawajuhi lolote kuhusu Mwl. Nyerere?Rais Nyerere hafai kukumbukwa kwa lolote
Ukisema kaleta Uhuru kasome makala za Mohammed said utaelewa kazi ya viongozi wa TAA juu ya Uhuru na kazi ya Nyerere.
Nani alimruhusu kusema nchi haina dini halafu akatupa wimbo wa taifa tumuombe Mungu. Nani alimruhusu kuwa tunataka ujamaa? Alifanya referendum wapi? Nani alimruhusu kutaifusha Mali za watu,viwanda,viwanja,mashule,vyuo,nk? Nani alimruhusu kukusanya watu kwenye vijiji na maroli huku wakiwa chini ulinzi kwa waliopinga.
Nani alimruhusu kuua demokrasia na kupiga marufuku vyama vingi?
Serikali yake ikajaa umangimeza, hakuna wakuihoji, zikadumu fikra za mwenyekiti kwa mdamrefu, nan alimruhusu?
Akatumia rasilimali na fedha za chi kukomboa bara zima la Afrika bila kuweka mkataba kuwa fedha zile sio zake Bali za wananchi kwa hiyo wakipita Uhuru wao wazirudishe matokeo yake hata South Africa tuliowasaidia wenyeji hawataki wahamiaji na wanawaua, je rasilimali zetu zilizowanufaisha sisi tumenufaika na nini?
Nina mengi sana lakini ngoja niachie hapa, sasa najiuliza Nyerere tunamkumbuka kwa lipi hata tuweke eti Nyerere day?
Tafakari
Sababu ipo moja tu!!Hakuna sababu ya msingi.
well said.Tujibu hoja za mtoa mada,mm sioni kubwa zaid ya mazingaombwe ya muungano.
exactlyNyerere day inaweza kuwepo, lakini napinga kuifanya kuwa ni siku ya mapumziko!
Wakati tukiifanya hii siku kuwa ya mapumziko tujiulize, je Nyerere mwenyewe angekubaliana na dhana ya kutokufanya kazi ili kumkumbuka yeye?.
Kama kuwaadhimisha watu basi watu shurti wapumzike mbona basi wakati wa Mwalimu Nyerere akiwa madarakani hajawahi kuweka Karume day ili kumuadhimisha muasisi mwenzie wa Muungano?
Tunaweza kuiadhimisha Nyerere day kwa kuchapa kazi zaidi, makongamano ya kisomi n. k