Hakuna haja ya DNA

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Gharama ya kipimo cha DNA ni sh.laki 3. Lakini mwanamke amemwandikisha mtoto shule kwa jina la mtu wake wa zamani baada ya kukorofishana sana. Mtoto ana miaka 13 na siku zote nimekuwa na wasiwasi. Kuna haja ya DNa
 
Subiri nimalizie 45mnts za arsenal, nakuja
 
kwani ww huwa unamuonaje mtoto? km ni wako kweli lazima atakuwa na element flan za kukufanana.
 
Wakati anamuandikisha wewe ulikuwa wapi mpaka mtoto anafikisha miaka 13?
 
Huyo mwanamke ni mke wako?
aseee ulitakiwa umuachie kata funua hapo teke moja kwao
hizo ni zaidi ya dharau....
 
Kama si mkeo endelea kulea tu usitafute yaliofichika 🐎
 
Kuna sehemu nilisoma imepunguzwa sasa hata kwa laki moja unapima DNA. Kama sijakosea hiyo bei, nenda kapime kwanza labda ni mtoto wako, huyo wa zamani aliandikwa jina tu ili ale mijihela yake. Pole
 
1. Kwani report za mtoto zinakuja na majina gani? Sikuzote hizo hukuona surname tofauti?
2. Nani yuko responsible kilipa fees ya mtoto?
 
Mtoto huyu wa kke anaonekana kufanana na huyo bwana! Lakini i was blind for over ten yrs ingawa jambo hili limenitesa. Sasa anasoma sec. na jina la shule silijui! Lakini anadai eti alibadilisha jina kwa hasira tu na sasa amataka turudiane. Inakuja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…