Huwenda hata Kuna sehemu best kushinda ulaya ndugu ulimwengu ni Mpana sana ukute Kuna sayari zina uhai na ziko zinamaendeleo hayapimiki!.
Sio tu sayari nzuri
Huenda Katika kipindi kirefu Cha maisha ya UMILELE(Un-Ending existence) na Mungu mbinguni.
Yaani nazungumzia maisha baada ya mambo yote ya kinabii kutimia.
Kama vile Kila mtu kulipwa mshahara kutokana na matendo yake duniani(yaani day of judgment),wenye dhambi wakatupwa kwenye ziwa la moto,na shetani na vikosi vyake kutupwa kwenye ziwa la moto Kwa ajili ya kuteswa na wanadamu katiki pindi kisichokuwa na mwisho( Un-Ending existence kwenye ziwa la moto ),na dunia yetu ku-kunjwa Kama karatasi na kutupwa kwenye ziwa la moto
Na baada ya Mungu kufanya mwanzo mpya wa maisha ya Watoto wake walio kuwa watiifu na kuishi maisha matakatifu waliookuwa duniani na Mungu kuishi na wanadamu Milele
Soma kitabu Cha :
ufunuo 21:3-5 ,NAYO inasema,
3 Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
4 Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
5 Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli.
Baadaye Sana huko kwenye maisha yasio kuwa na mwisho yaani Un-Ending existence
Huko kipindi Cha mbeleni Sana in heaven
Kuna Uwezekano wa MUNGU kuumba 1000,000,000,000,000 of UNIVERSES na zaidi
Yaani huko mbeleni Sana Mungu anaweza kuumba limwengu za anga zinginezo billions zaidi na za ajabu zaidi na kubwa Mara maelfu ya hii tulio NAYO now,ambayo inawasumbua NASA kuumiza kichwa kuitafit,i .
Na akawamilikisha wanae yaani wacha Mungu.
Ndio maana watu mnahimizwa kutenda mema kuishi Katika utakatifu maana hamjui mangapi Mungu amewaandaria,kwenye maisha ambayo ni Un-Ending existence.
Na Makao makuu ya hizo universes zote ni kwenye mbingu yake.
Hili ni wazo ambalo limenijia baada ya kuwa kwenye tafakari ya kina ya kutafakari ukuu wa Mungu baada ya kusoma
Maandiko haya mawili,
Mwanzo 1:1
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu (universe) na nchi.
Na andiko la pili ni
Ufunuo 20:11
11 Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na
yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu(yaani universe) zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.[\B]
Kwenye andiko la kwanza
Mwanzo1:1
inamthibitisha Mungu , kuwa Kwa namna ya ajabu aliumba universe(s).
Ambayo NASA wanapoteza muda wao, na gharama zao kuitafiti.
Na
ufunuo 20:11
Tunaoneshwa kuwa hiyohiyo universe wanayoiangaikia kutwa nzima NASA , ambayo wakina Elon musk wanaisumbukia na makampuni mengine, kiutafiti.
Ajabu Kwa Mungu inampisha , yaani Kwa namna nyingine Mungu anaweza kuikunja Kama karatasi hii universe au kuipoteza hii universe Kama upepo
Wacha Mungu aitwe Mungu
Ushauri.
Utunzeni utakatifu,maana yajayo yanafurahisha.