Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

Mimi lazima tu ni dumu vitu vingi na ignore visivo na msingi wallah kero za mtu ndo sizijali Tena wanaume walivo vichomi hata sipigishani kelele mtu arudi hata saa ngapi atajiju wallah,

Hahaaaa hapo pa ccm umenichekesha sana
Ah mie hata mm kupigizana kelele kisa umelate siwezi...utajiju mwenyew
 
Yaani brod darling nilijua ndo sis darling yupo hospital now; thank God kumbe ilishapita. Kwa kweli what you have is enough.
Ndugu, umeongea yaliyonikuta. Wife yupo hospital na hali yake mbaya sana, chances za yeye na mtoto ku-survive ni ndogo na Dr wake anaongea kabisa, I was like am I going to be a widower hata 40 sijafika? Siku anaingizwa chumba cha upasuaji sikula the whole day, Dr anakuja ana-smile mbele yangu siamini. Kuna mimba zinakuwa kama nusu kifo, zinafilisi manake nyie ni hospitali tu kila wiki.

Ndio maana sidhani kama huyu mama atazaa tena, what we have is enough.
 
hujanielewa boss, yan alisema kwenye maisha kuna scenario zinatokea unatakiwa kuzikubali....


actually alikua ananifundisha kuhusu majaribu na namna ya kuvuka, na hii ishu alianza kunifundisha baada ya wife kupata miscarriage, nilishake sana maana nimekaa miaka 3 kwenye ndoa hakuna mtoto, then mwaka wa 4 mwanzoni wife akapata miscariage.....


ni jamaa huwa naomba nae, rafiki yangu, yani mtu wangu wa ndani sana! so naweza kusema kanisaidia kiasi kwamba siogopi kufa maana ni lazima nifike huko thou ishu ya uzao inaumiza sn!

Mi nashauri usiruhusu hayo mawazo hasa kama unamwamini MUNGU. Bible inasema aonavyo mtu nafsini ndivyo alivyo! Na pengine kwenye Kutoka 23:26 inasema hatakuwepo mwenye kuharibu mimba wala aliye tasa. Hizo miscarriage na kutozaa ni mipango ya mwovu tu siyo MUNGU huyo. Ukitaka msaada zaidi kujifunza ili mpokee majibu ya mtoto nicheki inbox. Siongelei habari za dini, miujiza, mafuta au chochote cha kukushawishi. Naongelea kupata ufahamu utakaowavusha muishi kwenye level zaidi yakuamini na kutumaini.
 
Kuna kujiandaa na kunaku-face ukweli. Mpendwa msiba ni wa kubaki tu kwenye imaginations zako; ukikukuta daah (God forbid)

mkuu pole sana aisee, Mungu akutie nguvu sana na ampe maarifa huyo mwenza wako atleast azibe pengo la mkeo mpendwa!


btw umekaa miaka mingapi baada ya kufiwa?


mimi kuna rafiki yangu mmoja kuna siku aliniambia mtu inabidi ujiandae kufiwa na mwenza anytime, iandae kabisa akili ili likitokea usishake sana!..... kwakweli japo nina miaka 3 kwenye ndoa na sina hata mtoto ila nimejiandaa japo nawazaGa sana sometime scenario hii ikitokea itakuaje!
 
Nime poteza one of my parent nashukuru Mungu Wala Sina uchungu moyoni na amani tele najua kazi yake iliisha dunia, and one my parent mzima wa afya, Mungu ni mwema kuweka uchungu hakumrudishi mtu aisee.
Cariha unaonekana mwenye roho ngumu sana, huna hisia za kike kama mwanamke wa kawaida, noma sana wewe. Nahisi your hubby to be ajiandae kimwili na kiroho huko aliko, difficult character wewe
 
Yaani brod darling nilijua ndo sis darling yupo hospital now; thank God kumbe ilishapita. Kwa kweli what you have is enough.
Ni muda kidogo sis darling, yote no mema sasa ni kulea tu vijana wapate mkate wa kila siku. Lakini tumepitia changamoto ngumu sana.
 
Cariha unaonekana mwenye roho ngumu sana, huna hisia za kike kama mwanamke wa kawaida, noma sana wewe. Nahisi your hubby to be ajiandae kimwili na kiroho huko aliko, difficult character wewe
Mimi Sina roho I'm good heart women ukikaa na Mimi ukanijua hutajuta kabisa once ukinisoma na ukinielewa na huwezi amini watu hunipenda na kuniomba Hadi msaada wallah,
Udhaifu wengi ni vile vitu visivo upa amani yangu na furaha yangu huwa sivipi kiupaumbele kabisa na accept vitu vilivo.

So mwanaume wangu hawezi kujuta kabisa na kunawanaonipenda balaa jinsi tu nilivo Yani.
 
Back
Top Bottom