Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

Wanawake tumeumbiwa kusahau haraka, pia wajane wanawake waume wakifa hupendeza Sana, tofauti na wanaume wengi wakifiwa huwa hawaowi, na akikuoa utakoma daily kumkumbuka mkewe

😆😆😆Hakawii kukubeba kila siku muende makaburini kusafisha lol!
 
Hii situation usikie mie nilipoteza mke na mtoto, ndani ya siku kumi tu mpka leo naona hakuna anayenimudu na kunifaa. Japo niko kwa procedure za kumpata mwenza wangu wa maisha ila iliniuma sana only 1year kwenye ndoa hata hamjachokana yaani.
Pole sana mkuu, wengine huku tunamwomba sana Mungu atunusuru na hilo janga.
 
Ni kitambo kidogo kimepita namkumbuka mwalimu wangu mmoja makamo ya 50s hivi. Siku hiyo baada ya lecture akaanza kutupa story za maisha

Alisema yeye alipata misiba inayofuatana ya mama, baba, mtoto wake wa kiume pamoja na mke wake

Msiba wa kwanza ulikuwa wa baba, walilia ila baada ya muda wakasahau na maisha yakaendelea. Msiba wa pili ulikuwa wa mama yake ambapo walilia sana ila baada ya muda fulani wakasahau

Wa tatu ulikuwa wa mtoto wake wa kiume, huzuni ilitawala lakini baada maisha ilibidi yaendelee.

Anasema mapito hayo yote aliweza kusurvive ila huzuni kuu ilikuja baada ya wife wake kufariki, alimwaga chozi kama mtoto, chakula hakikupita. Kila aina ya uchungu aliufeel.

Teacher anaendelea kusema ilimchukua muda mrefu sana kukubaliana na hali mpaka alipokuja kukaa sawa ikiwa ni tofauti na experience watu wake wa karibu aliowapoteza hapo kabla ila maisha hayakuwa sawa tena

Tupendane maisha haya ni mafupi
Mimi mjomba wangu kafiwa na mkewe,miaka miwili imepita,lkn mpaka hivi sasa akili haipo vizuri.

Ukitaka kukorofishana nae mwambie atafute mwanamke mwengine wa kuoa.
 
Bwana eee, hakuna msiba mkubwa kama kuachika huku aliyekuacha bado unampenda, kinachouma zaidi ni kumwona anadunda na mwingine...laah yaani ukikumbukia yale mambo yenu yale loooo unawaza yaani na mwenzanu anapewa vile vile au hata zaidi...

Msiba wa kufiwa na mke /mume huo utalia sana sana ila utasahau tu maana ki fikra unajua hatarudi tena.... ila huu niliousema ni msiba endelevu...!!
 
Bwana eee, hakuna msimba mkubwa kama kuachika huku aliyekuacha bado unampenda, kinachuma zaidi ni kumwona anadunda na mwingine...laah yaani ukikumbukia yale mambo yenu yale loooo unawaza yaani na mwenzanu anapewa vile vile au hata zaidi...

Msiba wa kufiwa na mke /mume huo utalia sana sana ila utasahau tu maana ki fikra unajua hatarudi tena.... ila huu niliousema ni msiba endelevu...!!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umeua sana
 
Ni kitambo kidogo kimepita namkumbuka mwalimu wangu mmoja makamo ya 50s hivi. Siku hiyo baada ya lecture akaanza kutupa story za maisha

Alisema yeye alipata misiba inayofuatana ya mama, baba, mtoto wake wa kiume pamoja na mke wake

Msiba wa kwanza ulikuwa wa baba, walilia ila baada ya muda wakasahau na maisha yakaendelea. Msiba wa pili ulikuwa wa mama yake ambapo walilia sana ila baada ya muda fulani wakasahau

Wa tatu ulikuwa wa mtoto wake wa kiume, huzuni ilitawala lakini baada maisha ilibidi yaendelee.

Anasema mapito hayo yote aliweza kusurvive ila huzuni kuu ilikuja baada ya wife wake kufariki, alimwaga chozi kama mtoto, chakula hakikupita. Kila aina ya uchungu aliufeel.

Teacher anaendelea kusema ilimchukua muda mrefu sana kukubaliana na hali mpaka alipokuja kukaa sawa ikiwa ni tofauti na experience watu wake wa karibu aliowapoteza hapo kabla ila maisha hayakuwa sawa tena

Tupendane maisha haya ni mafupi
Sio kweli mkuu,,,hakuna msiba unaoumiza kama kufiwa na mtoto mkuu,,,,halafu wanafata wazazi,,halafu blood. Brothers and sisters...mke utaumia lakini utapata mwingine...hebu nambie mzazi utampata wapi?au mtoto wako yule utampata wapi tena?wewe utaumia kwa kupoteza mke wako,,,lakini kuna watakaoumia zaidi kupoteza mama yao,,,,kupoteza mtoto wao...mkuu napinga hoja yako...kinachokuumiza ni mazoea ya mke na ukija ukioa mwingine ushasahau kila kitu...lakini kovu la wazazi na mtoto halifutiki mkuu
 
Ni kweli kbs...ila unaweza angukia pua itabidi ..maombi ya kufunga na kuomba yatahitajika ili nimpate walau ambaye naweza kummudu
Kama bado umdogo huwezi kuishi tu hivi hivi, au la itabidi uzini ili utimize haja za mwili. Ukizoea kuishi na mtu upweke hutauweza.
 
Back
Top Bottom