Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,286
Haya ndio matokeo ya kumuachia mtu mmoja afanye maamuzi tunajikuta wote tunasagwa kama ng'ombe.Tunatakiwa tuwe na mifumo imara,tuchague wanadiplomasia kutokana na weledi na sifa zao kulingana na uwakilishi kwenye nchi husika. Muhimu zaidi tujue nini hasa tunakitaka kutoka kwenye nchi/ukanda husika.