Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,109
- 18,326
WABUNGE VIJANA JIFUNZENI KUWA WATII KWA VYAMA VYENU, HAKUNA CHAMA DUNIANI AMBACHO KINA ENDEKEZA YEYOTE AMBAYE HATII MAAZIMIO YA CHAMA HATA KAMA HAKUBALIANI NAYO. CCM NI MFANO MZURI. MUDA HUU WOTE WAPO BUNGENI KWA SABABU MWENYEKITI AU CHAMA KIMEWATAKA WAENDELEE KUWA BUNGENI PAMOJA NA KWAMBA KUNA WENGI HATA USINGIZI HAWALALI KWA HOFU YA KUFA NA CORONA.
Wabunge wanao jiunga na vyama vya upinzania waache njaa, Hakuna chama duniani ambacho huwa kinamwacha yeyote ambaye anakwenda kinyume na matakwa ya chama, Iwe Marekani, Russia, China au mashariki ya kati , mambo ni yale yale lazima kutii jambo lilo kubalika na chama chako.
Hawa Vijana ambao wanakiuka makubaliano ya vyama vyao na kushangiliwa na Chama Cha Mapinduzi, wnadhani mle CCM hakuna wabunge ambao huwa hawaikubali kauli ya mwenyekiti, wakati uhalisia chama cha mapinduzi ndio chama ambacho huwezi pingana na maamuzi ya chama au ya mwenyekiti.
Katika sakata hili la juzi, inaonyesha wale wabunge kina Silinde, Lijuakali, etc ambao wamaamua mkulinda posho zao kwa kisingizio wananchi ndio waliowachagua ni kiishiwa kisiasa na kukosa mwelekeo, hakuna chama wataaenda kitaendekeza ujinga kama huu.
Kuwa mwanachama ni Pamoja na kutetea maslahi ya chama hata kama hukubaliano nao.
Sitegemee silinde na lijuakali kurudi bungeni, wakibebwa na CCM wajue hawata kuwa na uhuru Zaidi ya kuunga hoja za serikali hata wakati wa mambo ya hovyo.
Msimamo ni kipimo cha utu.
Tabutupu
CEO, Tabutupu Group
Paris, France| Nyaishoshi Tanzania

- Unadhani wana ccm wanamkubali Magufuli kwa kila anancho waambia waseme au wafanye, ila kwa sababu wamekubali kuwa wanachama basi sharti lake lazima kuheshimu kauli ya kiti cha mwenyeketi au ya chama.
- Silinge na wenzie wanadhani Republic kule marekani wanamkubali sana trump hata kuendelea na vikao wakati democrat wamsusia vikao?
- Silinde na wenzake wanadhani wabunge wa ccm hawaogopi corona wakati kuna Ushahidi kuna wabunge wamepoteza maisha? No, Ila kwa sababu mwenyekiti anawahitaji wakae bungeni.
- CCM umefukuza wanachama wengi sana kwa kutotii kauli ya chama au ya mwenyekiti hata wengine hawajulikani walipo.
- Huwezi kuwa mwana siasa kama huwezi kusimamia maazimio ya chama .