Hahaha Kama Ni harmonise na kiba,basi umepatia ila kwa Simba mdogo wangu yule Ni next level
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kama wanaongelea albumUnamatatizo Na Kiba100?? Ngoja nyumbu zake waje
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaota ndoto za mchana harmonize ambaye hata akipita mtaani watu hawash2ki, Diamond na kiba hasa diamond ni habari nyingine kwanza hao wawili ni smart sana kichwani unawafananisha na huyu ambaye mda wote kavaa macheni na manywele ya marangi kama limbukeni kwanza hajui kuimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unajifunza kupga screenshot nini?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Yap nakubariana na ww kbsa harmonize ni tatizo Kwa sasaHarmonize ndo king wa bongo F na east Africa Kwa sasa ..View attachment 1071064
Sent using Jamii Forums mobile app
Alokwambia kiba hana album ni nani?mbona kama wanaongelea album
kama ni album kiba hana album
diamond anayo a boy from tandale
so apo uktakiwa umlinganishe hamo na domo
kiba apo umemwonea tuu
teh anyway nazungumzia current situation mkuuAlokwambia kiba hana album ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila kwa faida yako alikiba ana album zaid ya mbili naikumbuka nakshi nakshi nyingne zimenitokateh anyway nazungumzia current situation mkuu
sorry kama skuekeweka
mi ni muhenga kwe haya mambo u can't tell me nonSawa ila kwa faida yako alikiba ana album zaid ya mbili naikumbuka nakshi nakshi nyingne zimenitoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Album ya kwanza 2007/2008 - Cinderella,Sawa ila kwa faida yako alikiba ana album zaid ya mbili naikumbuka nakshi nakshi nyingne zimenitoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hizo hizo mm nimeshasahau na haya mambo mwambie mdau hapo juu aeleweAlbum ya kwanza 2007/2008 - Cinderella,
Album ya pili 2009/2010 - Alikiba4real