Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,013
- 25,721
krani sana expert! Kama hautojali tunaweza kuwasiliana Pm? I have psychological issues you can save me abiView attachment 3216160
Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu wanatakuonaje?
Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?
Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?
Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?
Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake
Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake
Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako
Ni hayo tu!
Karibu expert wanguOga shu
krani sana expert! Kama hautojali tunaweza kuwasiliana Pm? I have psychological issues you can save me abi
This depend na jamii inao kuzunguka kuna jamii tunako nchi huku mbagala rangi tatu, watu wanakuatilia maisha yako mpaka kujua unacho kula usku.View attachment 3216160
Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?
Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?
Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?
Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?
Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake
Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake
Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako
Ni hayo tu!
Sijui kama nimekuelewa expert wangu,unaweza kufafanua zaidiWhy ujichanganye na uongee kwa watu ambao hawajali kuhusu wewe?
Expert umeifunga pm yakoKaribu expert wangu
Yeah ni kweli watu hao wapo lkn, unadhani ukiwajali au kuwapa attention wanaweza acha kukufuatilia?This depend na jamii inao kuzunguka kuna jamii tunako nchi huku mbagala rangi tatu, watu wanaguatilia maisha yako mpaka kijua unacho kula usku.
Hapana expert,last time nilichat na wadau ,ngoja nichek halafu ntakutextExpert umeifunga pm yako
Yeah ni kweli kabisa,kikubwa wasikutoe kwenye reli yakoMatatizo ni Kama kalio kila mtu analo, so yajali na uya pambanie yako.
oukSijui kama nimekuelewa expert wangu,unaweza kufafanua zaidi
Ila kama unamaanisha labda kama kuna watu ambao una uwakika hawajali kuhusu wewe,wanakudharau na wanakuchukulia poa ,hapo sawa unawapotezea kwasababu hakuna unachopoteza kwa kukaa nao mbali
Kabisa watu wana perception hizo kumbe kila mtu anawaza maisha yake.View attachment 3216160
Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?
Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?
Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?
Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?
Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake
Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake
Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako
Ni hayo tu!
Ukishupaza shingo wana kuroga au kukutupia majini ni lazima uishi kama wao otherwise uhame hilo eneo, utaumia bure, ukweli ni kwamba kuna watu wanafuatilia maisha ya watu hata kuliko ya kwao.Yeah ni kweli watu hao wapo lkn, unadhani ukiwajali au kuwapa attention wanaweza acha kukufuatilia?
Ukiwapa kipaumbele utashindwa kufanya mambo yako,cha msingi waache waendelee na ujinga wao,wewe focus na mambo yako tu
Chai.View attachment 3216160
Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?
Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?
Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?
Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?
Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake
Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake
Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako
Ni hayo tu!
Well said.Ukishupaza shingo wana kuroga au kukutupia majini ni lazima uishi kama wao otherwise uhame hilo eneo, utahumia bure, ukweli ni kwamba kuna watu wanafuatilia maisha ya watu hata kiliko ya kwao.
Sometime ni imagination zako tu expert wangu,sikatai kwamba hakuna ambao huwa hawawasemi wenzao laa,wapo lkn sio mara zote wanasema kinachobakia ni mawazo yako tuChai.
Kila unalolifanya watu wanakuona na kukujadili ila ni mabingwa wa kujikausha kimyaaa.