Rose Mayemba
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 721
- 1,017
What a heck is this? Mleta mada anasumbuliwa na nini hadi anachonga peke yake? Anataka kueleza nini?
Wanajifanya hawamwelewi mleta hoja, mtu kasema 'wanajifanya hawalioni anguko lao', kipi kimejificha hapa.mbona yupo clear tu?
jaribuni kupanuka kidogo mtamwelewa hiyo inaitwa tenzi tata na kila ambaye si mvivu wa kufikiri hung'amua mapema.
Ina maana pamoja na kusoma kwako fasihi hujaambua chochote kwenye tenzi hiyo.Psalm is too general. Ukisema hawaoni anguko lao wapi? Zaburi haikuandikwa kwa ajili ya watanzania wala CCM. Tatizo la wanafasihi wa kujifungia chumbani na kufikiri ni kudhani kila mtu anafikiri kama wao. Laiti angeanza na kidokezo na siyo kuja na kitu kisicho na hunch. Kama ni fasihi tumeifundisha kwa miaka tunajua nini fumbo, nyama hata farasi kufungiana nyama na nyangwa. Ningemshauri asome vizuri kuhusu matumizi ya tenzi au mafumbo hata mashairi ya jumla kuelezea jambo mahsusi. Sina ugomvi na dhana nzima ya mleta mada ingawa sikubaliani na dhima anayotaka watu wapate hata bila kiashiria. Anyway sijui. Huenda fasihi ya kisasa ya akina Profesa Maghembe ya kusoma kitabu kimoja ndiyo inayofanya kazi hapa. Hata kwenye utunzi wa vitabu huwezi kuota na kutaka hadhira yako iote bila kuwaonyesha mwelekeo.
Ndoto zinazosababishwa na njaa hizi. Uwe unakula kabla ya kulala ona sasa.
Ama kweli wametiwa upofu,wamepewa macho na hawalioni anguko lao,wamepewa masikio bali hawasikii hata kelele za hatari,Mungu ajitenga nao,aamua kuweka kila kitu hadharani,wanajif anya hawajui wanachokiona,w ngi watafunguka siku ya mazishi yao.eee Mungu endelea kuwapumbaza watu hawa.
Ama kweli wametiwa upofu,wamepewa macho na hawalioni anguko lao,wamepewa masikio bali hawasikii hata kelele za hatari,Mungu ajitenga nao,aamua kuweka kila kitu hadharani,wanajif anya hawajui wanachokiona,w ngi watafunguka siku ya mazishi yao.eee Mungu endelea kuwapumbaza watu hawa.
Kuna matatizo ya watu kugoma kufikiri... wanataka kila kitu waandikiwe straight fowardWanajifanya hawamwelewi mleta hoja, mtu kasema 'wanajifanya hawalioni anguko lao', kipi kimejificha hapa.
Ina maana pamoja na kusoma kwako fasihi hujaambua chochote kwenye tenzi hiyo.
Kwa akili ya kawaida lazima uhisi at least vitu viwili vitatu vinavyoongelewa.