Hakuna Ali Kiba bila Diamond

Hakuna Ali Kiba bila Diamond

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,165
Reaction score
43,854
Yani sasa ndo nimeamini Ali Kiba ndo mtu ambae hataki kabisa bifu lake na Diamond life maana atakosa promo kimziki kabisa.

Kama ilivyokuwa ushindani wa Ray na Kanumba ukamfanya Ray nae aonekane mkali ila Kanumba alivyoondoka ukweli ukadhihirika.

ila sasa ukweli upo wazi kuwa Alikiba anategemea sana bifu lake na Diamondi katika mziki wake na ana roho ya kwanini sana kibakuli.
 
Back
Top Bottom