Hakukuwa na ulazima wa kumkamata Tundu Lissu na kumfungulia mashtaka ya uhaini. Yamefanyika Makosa ya kiufundi. Gia ipi itumike kumuachia?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,055
Reaction score
79,399
Bila Shaka wote Mpo salama!

Serikali ilifanya kosa la kiufundi kumkamata Tundu Lisu kwa Makosa ambayo kwa jicho la kawaida tuu unaweza kuona ni ishu ya kisiasa.

Ati Lisu mhaini. mwanasheria msomi kama Lisu ati atangaze waziwazi kufanya uhaini mbele ya camera. Kweli!

Tukio la Lisu kupigwa Risasi miaka Ile lilimuweka karibu zaidi na mabeberu. Lilimuongezea nguvu na connection na viongozi wa magharibi.

Kwa harakaharaka nguvu za Lisu zipo nje ya nchi kuliko ndani. Kama lengo la serikali lilikuwa kumpunguza makali Tundu Lisu basi hatua waliyochukua dhidi yake haikuwa hatua sahihi.

Hatua yoyote ya kumdhibiti Lisu ilipaswa izingatie nguvu ya Lisu IPO wapi. Nani wanamsapoti Lisu.
Je watu hao wanaathari yoyote kwenye uchumi na usalama wa taifa letu kwa kiwango kipi?

Je hatua tutakazozichukua zinaathari gani na kwa muda gani katika taifa?

Je Lisu mwenyewe ataathirika vipi Kwa hatua ambazo tutamchukulia?

Ni Jambo gani Lissu analiogopa ambalo hataki adui zake walifahamu?

Nini kitadhorotesha na kumkatisha tamaa Tundu Lissu?

Ni mtu gani ndani ya taifa hili yupo karibu na Lisu ambaye tukimshawishi akawa upande wetu tutakuwa tumemaliza sehemi muhimu ya nguvu za Lissu?

Ni wapi Lissu anapata ushauri wenye tija anaoutegemea katika harakati zake?

Hapakuwa na haja ya kumweka mahabusu Lissu Kwa makosa yanayomuongezea sifa na CV katika Harakati zake.

Kwa kiwango alichofikia Lisu sio wa kushughulika naye kienyeji na kijingajinga kama unashughulika na watu wa kawaida.

Sayansi ya siasa hapo ndio sehemu Yake.

Tena kwa mazingira ya nchi yetu na watu wake. Hakukuwa na sababu ya kutumia nguvu kubwa kukabiliana naye.

Kuna watu unaweza kuwatumia kutisha wengine lakini kwa level ya Lisu sio miongoni mwa watu hao.
Ni sawa na shambulizi la Father Kitima halikuwa sahihi kabisa.

Ni shambulizi lisilo na tija. Zaidi linaleta athari mbaya zaidi kwa upande wa serikali.

Moja ya mbinu za kudili na watu Aina ya Lisu na kumkatisha tamaa ni pamoja na;

1. Kujifanya unamsapoti kwa kumpa nafasi ya kufanya kile anachotaka ili aone vile anavyojiona sivyo watu wanavyomchukulia.
Akitangaza mikutano yake serikali itoe sapoti ya ulinzi wa polisi.

Lakini wakati huo serikali iwe imeandaa watu katika Nyanja kadhaa za kukabiliana naye kwa akili na viroja.
Wale vijana wa serikali wenye hulka ya Tundu Lisu nao wangeingizwa mchezoni lakini wao wawe upande wa serikali.

Unapomzuia mtu au kitu unakipa thamani.

Hakukuwa na haja ya kutumia mabavu.

2. Kuchochea migogoro ya ndani ya chama alichopo Lisu.
Hii naona serikali inafanya vizuri.

Hakukuwa na haja ya kumfunga Lisu wakati ungeweza kuwatumia watu wake mwenyewe kukabiliana naye.
Kila mtu anabei yake hilo linajulikana. Ambao hawanabei mara nyingi sio wanasiasa. Na kama ni mwanasiasa asiye na bei huyo ni exceptional na wapo wachache Sana

Mtu akishafika bei hakuna haja ya yeye kuhama chama hasa mtu huyo mkimuona anauwezo mkubwa wa kutoshana na Lisu. Sio mchukue mtu ilimradi tuu kisa anajina kubwa, wengine majina makubwa sio kwa uwezo wao Bali wamebebwabebwa, au kupromotiwa na chama.

Watu wenye uwezo mkubwa wanasifa zap. Kwanza ni smart, lakini kwenye fani zao ni wataalamu kwa kiwango cha juu. Kama ni mchumi ni mchumi haswa. Kama ni daktari ni Yule aliyebobea, kama ni Mwalimu ni wale waliopata ufaulu usio na mashaka. Sio unachukua mtu kisa anabororoja zaidi ya hapo hanaajualo.

Watu aina ya Lisu lazima uwatafutie watu wenye uwezo kama wao na sifa za ziada.

3. Kama lengo ni kuzuia agenda ya No reforms no election. Serikali ingewaambia wapinzani hasa hao chadema akiwepo Lisu kuwa mchakato utakuwa wa Uhuru na haki katika kuunda tume huru ya uchaguzi.
Kamati au tume Fulani itakayohusisha vyama vya upinzani ingeundwa. Kisha kwenye tume hiyo wakati wa mkutano wa Kwanza, ingeletwa hoja ya kuwa muda umeenda kufikia uchaguzi mkuu. Hivyo mchakato uwe mwakani.

Hapo yangezuka makundi mawili lakini tayari serikali kwa Siri ilikuwa na mpango. Kura zipigwe kwa wanaotaka tume kabla ya uchaguzi na wale wanaotaka tume huru mwakani. Kura zinapigwa zinahesabiwa serikali ilishaandaa watu wa kuhakikisha mchakato wa tume huru ufanyike mwakani. Hivyo itashinda.

Ikifika mwakani mipango mingine itaendelea vivyohivyo.
Na sio kukimbizana na watu kwa kutumia nguvu kubwa

4. Kuruhusu midahalo ambayo Lisu anaitaka lakini kuhakikisha miongoni mwa watu wake wanampinga kwenye huohuo mdahalo. Yaani wanakuwa kinyume.
Isiwe ya kuonekana imepangwa, watu wake mkishawaweka sawa. Wakati wa mdahalo waongee kwa akili kanakwamba wapo na lisu lakini hoja zao ziwe zinakinzana au kuleta utata kwa wasikilizaji.
Upande wa serikali wachague mtu mwerevu, mahiri, mwenye kujua mambo mengi, lakini ajuaye kuzungumza. Asiingilie ugomvi baina ya chadema wakati wa mdahalo kazi hiyo aifanye mtangazaji. Yeye atakuwa anachomekea kidogokidogo kuchochea Moto na kuonyesha nyufa za upande wa pili.

Kisha mwisho mtu wa Lisu abaki kumsapoti Lisu na aendelee kuiponda serikali kwa nguvu zote.
Kesho yake vyombo vya habari, influencer WA mitandaoni waendelee na KAZI yao kuonyesha madhaifu yaliyojitokeza kwenye mdahalo.
Hakikisheni influencers watakaojadili ishu ngumu za Lisu wawe wamebobea kwenye masuala ya kisiasa na kijamii. Wakitoa hoja ziwe zinaeleweka.

5. Watu kama kina Kitima sio wakuwashambulia kwani huko ni kuongeza maadui na kuitanua vita. Ni kumpa nguvu Tundu Lisu.
Watu aina ya kitima ni kutafuta eneo lao lenye udhaifu ambalo mtaweza kulitumia kuwanyamazisha.
Hakuna mtu asiye na udhaifu Fulani. Hakuna MTU asiye na Jambo analolificha watu wasilijue.
Utakapolijua Jambo Hilo basi umemmaliza nguvu MTU husika.
Kama umeshindwa kulipata Jambo Hilo ingawaje lazima liwepo. Basi mtengenezee Jambo la aibu mwenyewe kwaakili. Kisha mdhibiti.

Kwenye michezo ya siasa hilo ni muhimu kuliko kushambulia, kuteka au kuua.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mtibeli, hoja zako ni ndefu sijamaliza kuzisoma, ila nikuambie tu Lissu na Viongozi wenzake wanajua wanafanya nn, na walipanga haya.

Nanukuu kauli yake moja akiongea na makada wa Chadema akiwa makao makuu

"Kama kuna mtu yuko hapa anataka kugombea sijui udiwani au ubunge basi asahau, asahau kabisa . Maana tumeamua mwaka huu tutaenda kukinukisha, na hatutanii hata kidogo, hata mm nilitaman uraisi ila ndio hivyo"..

Ref ni Post ya 5/May/2025 ya Jericko Nyerere ikimuongelea Lissu kwenye instagram post yake.

Kwahiyo jambo ambalo walipanga toka awali. Na pengne linaenda jinsi wanataka au lah, wao ndio wanajua.
 
Bila Shaka wote Mpo salama!

Serikali ilifanya kosa la kiufundi kumkamata Tundu Lisu kwa Makosa ambayo kwa jicho la kawaida tuu unaweza kuona ni ishu ya kisiasa.

Ati Lisu mhaini. mwanasheria msomi kama Lisu ati atangaze waziwazi kufanya uhaini mbele ya camera. Kweli!

Tukio la Lisu kupigwa Risasi miaka Ile lilimuweka karibu zaidi na mabeberu. Lilimuongezea nguvu na connection na viongozi wa magharibi.

Kwa harakaharaka nguvu za Lisu zipo nje ya nchi kuliko ndani. Kama lengo la serikali lilikuwa kumpunguza makali Tundu Lisu basi hatua waliyochukua dhidi yake haikuwa hatua sahihi.
Hatua yoyote ya kumdhibiti Lisu ilipaswa izingatie nguvu ya Lisu IPO wapi. Nani wanamsapoti Lisu.
Je watu hao wanaathari yoyote kwenye uchumi na usalama wa taifa letu kwa kiwango kipi?

Je hatua tutakazozichukua zinaathari gani na kwa muda gani katika taifa?

Je Lisu mwenyewe ataathirika vipi Kwa hatua ambazo tutamchukulia?
Ni Jambo gani Lisu analiogopa ambalo hataki adui zake walifahamu?
Nini kitadhorotesha na kumkatisha tamaa Tundu Lisu?
Ni mtu gani ndani ya taifa hili yupo karibu na Lisu ambaye tukimshawishi akawa upande wetu tutakuwa tumemaliza sehemi muhimu ya nguvu za Lisu?

Ni wapi Lisu anapata ushauri wenye tija anaoutegemea katika harakati zake?

Hapakuwa na haja ya kumweka mahabusu Lisu Kwa makosa yanayomuongezea sifa na CV katika Harakati zake.

Wacha alfu lela ulela subiria matokeo
 
Gentleman,
mropokaji yeyote yule wa kisiasa ni vizuri akawajibika kwa uropokaji wake unaokiuka na kuvuka ustaarabu na mipaka ya kisheria na katiba ya nchi kwa makusudi, ili hatimae atambue kwamba hakunaga mizaha katika kusimamia misingi ya utawala bora na utawala wa kisheria Tanzania.

Na hata hao wengine wanaopigana kwenye pombe baada ya kulemea na ulevi wao halafu wanasingizia taasisi za umma ambazo hazihusiki na ufakamiaji wao wa vilevi, ni vizuri wakawa wangwana licha ya kwamba ukweli utawafedhehesha wao wenyewe na taasisi zao :NoGodNo:
 
Wamemuongezea thamani kwasababu binadamu akipata yasiyotarajiwa, (uncertainty), uwezo wake wa kufikiri huongezeka tena huko gerezani ndiyo kabisaa uwezo wake wa kufikiri umeongezeka zaidi

Binadamu anapo amsha ubongo kukabiliana na yasiyotarajiwa hukutana na ubunifu ambao wewe kuugundu siyo rahisi

Uncertainty is catalyzed by 3 components
1. Information
2. People
3. Disaster

Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
..REFORMS anazozipigania TL zinatokana na mapendekezo ya Tume za Nyalali, Kisanga, Bomani, na Warioba.

..sasa ungetushawishi madhara ya mapendekezo hayo kwetu WANANCHI ili iwe halali kumsulubisha TL anayeunga mkono mapendekezo hayo.

..tueleze Reforms zina ubaya gani mpaka iwe vigumu kuzitekeleza.
 
Vijana wa vieite wanapewa kazi kwa koneksheni mambo kama haya hawajui na wanaishia kuvurundaa
Tatizo siyo uwezo ni kwamba wenyewe haijui hata kama haijui. Badala ya kuunda culture ya strategic analysis, wameunda klabu ya “kama hujui, usiulize, cheka na maboss.” Intelligence imegeuka kuwa red carpet ya kuigiza uzalendo Na ukithubutu kuuliza maswali, wanakutazama kama threat kubwa kuliko sijui nini.
 
..REFORMS anazozipigania TL zinatokana na mapendekezo ya Tume za Nyalali, Kisanga, Bomani, na Warioba.

..sasa ungetushawishi madhara ya mapendekezo hayo kwetu WANANCHI ili iwe halali kumsulubisha TL anayeunga mkono mapendekezo hayo.

..tueleze Reforms zina ubaya gani mpaka iwe vigumu kuzitekeleza.

Mimi nimeeleza hatua Ambazo zimechukua kumdhibiti Lisu. Ambapo kwa muono wangu sio sahihi.

Zijakataa reforms Mkuu.
 
Wamemuongezea thamani kwasababu binadamu akipata yasiyotarajiwa, (uncertainty), uwezo wake wa kufikiri huongezeka tena huko gerezani ndiyo kabisaa uwezo wake wa kufikiri umeongezeka zaidi

Binadamu anapo amsha ubongo kukabiliana na yasiyotarajiwa hukutana na ubunifu ambao wewe kuugundu siyo rahisi

Uncertainty is catalyzed by 3 components
1. Information
2. People
3. Disaster

Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities

Upo sahihi kabisa Mkuu
 
Gentleman,
mropokaji yeyote yule wa kisiasa ni vizuri akawajibika kwa uropokaji wake unaokiuka na kuvuka ustaarabu na mipaka ya kisheria na katiba ya nchi kwa makusudi, ili hatimae atambue kwamba hakunaga mizaha katika kusimamia misingi ya utawala bora na utawala wa kisheria Tanzania.

Na hata hao wengine wanaopigana kwenye pombe baada ya kulemea na ulevi wao halafu wanasingizia taasisi za umma ambazo hazihusiki na ufakamiaji wao wa vilevi, ni vizuri wakawa wangwana licha ya kwamba ukweli utawafedhehesha wao wenyewe na taasisi zao :NoGodNo:

🤓🤓🤓

Mropokaji level yake IPO juu Mkuu. Nafikiri huelewi kuwa watu wapo tofauti ingawaje yapo mambo yanayowafanya wawe sawa
 
Mtibeli, hoja zako ni ndefu sijamaliza kuzisoma, ila nikuambie tu Lissu na Viongozi wenzake wanajua wanafanya nn, na walipanga haya.

Nanukuu kauli yake moja akiongea na makada wa Chadema akiwa makao makuu

"Kama kuna mtu yuko hapa anataka kugombea sijui udiwani au ubunge basi asahau, asahau kabisa . Maana tumeamua mwaka huu tutaenda kukinukisha, na hatutanii hata kidogo, hata mm nilitaman uraisi ila ndio hivyo"..

Ref ni Post ya 5/May/2025 ya Jericko Nyerere ikimuongelea Lissu kwenye instagram post yake.

Kwahiyo jambo ambalo walipanga toka awali. Na pengne linaenda jinsi wanataka au lah, wao ndio wanajua.

Lisu anajua anachokifanya.
 
Back
Top Bottom