Djprezzo
Member
- Jul 22, 2013
- 17
- 7
Mzungu mmoja asubuhi hii aligonga daladala akajaribu kukimbia maeneo ya msikitini upanga karibia na muhimbili,
Katika harakati za kukimbia akapiga kona moja ili awapoteze wale wenye daladala majanga yakamkuta
Inasemekana alikua amelewa maana alikua anayumba barabarani.