Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,837
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Karudi nyumbani!
 
KUNA MAHALI KUNA UKWELI, JAPO SIpAJUi..
Inashangaza mtu anatoa maoni yake, kuna wanajibu kabla wahusika wenyewe...
Wahusika wamkanushe na sisi tupate ukweli..
ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,

Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?

be wise and be careful plz gentleman 🐒
 
Adui mkubwa ni wewe inabidi uchinjwe kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Hamphrey Polepole ndie aliekua msaidizi mkuu wa chinja chinja wa demokrasia nchini,
Surely,
amekua mtakatifu ghafla namna hii hata gentleman ubabaike na maagizo yake potofu akiwa mafichoni?🐒
 
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ndo umechanganyikiwa gentleman. Unaweweseka sana, tulia dawa iingie vizuri.
 
Kuwa jambazi haizuii wewe siku Moja kutibu na kuwataja majambazi wenzako na ndio maana amesema kuwa anaomba msamaha kwa watanzania na pili mfumo huo ni mzuri kwa watu wazuri na ni mbaya kwa watu wenye Nia ovu,sio kila mtu anaruhusiwa kuwa na silaha za kivita mpaka uwe umepitia mafunzo na Bado watu waovu waliopitia mafunzo wanafanya uovu.
 
Mimi nafurahi sana kuona nyie chawa FC a.k.à viande wa Lumumba mnavyohangaika na kutapatapa kumjibu Mh. Balozi Polepole.
hayupo wa kubabaika kujibu upotoshaji wa huo msukule, bali waTanzania wazalendo wanajatibu kuwanusuru ninyi ambao ni rahisi kubebwa ufala kifikra na huyo msukule 🐒
 
ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,

Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?

be wise and be careful plz gentleman 🐒
Ajitokeze ili mumteke kama mlivyoteka wengine? Watanzania sio machoko gentleman
 
Hamphrey Polepole ndie aliekua msaidizi mkuu wa chinja chinja wa demokrasia nchini,
Surely,
amekua mtakatifu ghafla namna hii hata gentleman ubabaike na maagizo yake potofu akiwa mafichoni?🐒
Kama alichosema ni uongo wewe unababaika nini. Subiri Nida na Inec wenyewe wakanushe, halafu uchunguzi huru ufanyike kuthibitisha hayo.
 
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Pure nonsense!
 
Kwa kuwa mnasema mnakubalika na mtapigiwa kura, basi watoto wetu wote tutawazuia nyumbani na wazazi wote hawatatoka kwenda kushiriki kwenye uchafuzi.
 
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.

Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?

Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?

Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe wewe uko na Chadema. Chizi kama chizi katika ubora wako. Hata nikikuuliza unitajie hicho chama ambacho akiwezi/kinaweza kumsikiliza huwezi kukutaja.
 
hayupo wa kubabaika kujibu upotoshaji wa huo msukule, bali waTanzania wazalendo wanajatibu kuwanusuru ninyi ambao ni rahisi kubebwa ufala kifikra na huyo msukule 🐒
Hapa unachokifanya ni nini? Yani mtu na akili zake timamu asizingatie yaliyosemwa na Polepole halafu awaamini matapeli wa CCM hii itakuwa maajabu.
 
Back
Top Bottom