mahakama ya mwanzo ifakara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakimu Minja wa Mahakama ya Mwanzo Ifakara ajitafakari

    Hapa Ifakara Kuna HAKIMU anaitwa Minja ni mwanamama mwenye dharau sana. Anawatangazia watu waje saa mbili asubuhi yeye anakuja saa 5 alafu akifika anakaa ofisini Hadi saa 9 ndio mnaanza kuitwa majina anahudumia mtu mmoja wengine wote mnapigwa tarehe nyingine. Na muda ni uleule saa mbili na yeye...
Back
Top Bottom