Hakimu Joyce Minde na MTIKILA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakimu Joyce Minde na MTIKILA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Aug 4, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Jamani wasomi wa sheria(UDSM) ,i guess huyu hakimu ni gradute wa Law UDSM!
  Je kuna sheria yoyote ya kwamba personal debts between individuals inaweza kumweka mtu gerezani?????????????????

  Hii ni comedy ya elimu ya uanasheria Tanzania,ambayo sasa it is a big joke.
  Labda wanasheria hawa watualeze,kama akina Wakili Ridhiwani
   
 2. a

  akilipana Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu, uliza swali ueleweshwe kabla ya kuponda elimu za watu. Sheria hiyo ipo na anaweza kufungwa si zaidi miezi sita na akitoka kama hawezi kulipa anafungwa tena si zaidi ya sita. Uliyemshitaki unamlipia gharama za kuishi kule magereza. Nishawahi kumfunga mbaya wangu miezi 3 ndugu zake wakalipa.
   
 3. M

  Mughwira Senior Member

  #3
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 10, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli ongea na wanasheria usikariri kuwa deni halifungi, endelea kukopa na usilipe. Mdaiwa anaweza kuhukumiwa na mahakama kifungo cha jela kisichozidi miezi 6 na Mdai anatakiwa akulipie gharama za kukaa jela. So kinachoangaliwa ni social status ya mshitakiwa ili kujua ni kiasi gani Mdai anatakiwa kukulipia kwa siku.
   
 4. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mmakonde, Heshima yako:

  Nisingependa kukujibu lakini kwa manufaa ya umma napenda nikueleweshe:
  Mosi; usikimbilie bunduki kabla ya tafakuri ya kina, Pili sheria ya mwenendo wa makosa ya madai(sic) inaweka bayana kuhusu 'civil prison' na mdau hapo juu kisha kujibu vizuri sana.

  Mwisho: rudia hapo mosi.
   
 5. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je kama ulilipa deni lako asilimia fulana na bado hujamalizia, unaweza fungwa pia?
   
 6. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Basi sheria kama ipo ,inaonyesha hali duni ya kisheria!

  Ni comedy ya kisheria the sort of Judge Judy !Ni waste of taxpayers money kwa sheria hii,kuingiliamasuala ya watu wawili wasiohusiana kuingia mkataba,ambapo serikali haina hata interests.

  Fikiria watu waliokopa mabenki ya serikali,bila hata kurudisha capital+interest?Je mtu mmoja ameshafungwa gerezani?
  Tulisikia Msekwa alikuwa anadaiwa na Wizara kwa ajili ya matibabu ya mtoto wake France!hakuna sheria itasema huyu bwana Msekwa aende gerezani miezi 6 mpaka alipe deni.

  Akilipana,kama wewe ndio mwanasheria wa Tanzania,basi inabidi usome zaidi LAW inayokwendana na wakati!Maana mwanasheria wa Tanzania sasa hayuko upande wa wananchi ,yuko upande wa mafisadi,na wale wanaoingia mikataba feki ya kuiibia nchi natural resources zake.
   
 7. k

  kaiyurankuba Member

  #7
  Aug 4, 2010
  Joined: May 16, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usikurupukie mambo usiyoyajua. utafiti wa juu juu tu ungekuweza kubaini kwamba takriban kila nchi duniani ina sheria inayoruhusu civil prison. sasa kwa tanzania ni kwamba wadai wengi huwa wanasuluhisha mambo nje ya mahakama. na pia wadaiwa huwa siyo vichwa ngumu kama mtikila! hakimu alikuwa sahihi kabisa.
   
 8. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mtikila love or loathe him,anajaribu kufuata human rights zake ambazo WaTz wengi hatuzijui kwa sababu ya umbumbu wetu.
  Kaiyurankuba,kumwita Mtikila kichwa ngumu,it is matter of opinion.
  Mtikila hajawahi kuua,Mtikila hajawahi kuiiibia serikali,Mtikila hajawahi kuipindua serikali.Kichwa ngumu i feel ni wale ambao kila siku wanawadanganya watu poor huko vijijini ,wakati wao wako shwari na mahekalu yao DSM.Hata makakama wanazui mtu mzalendo kuwa mgombea pekee bila ya kufuata corrupt vyama vya siasa!!!hao ndio kichwa ngumu.

  Kaiyurankuba tembea uone ,usiwadanganye wananchi wenzako kwa siasa yako ya Chuo cha Kivukoni
   
 9. T

  Taso JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  nakwambia sisi wabongo si vichwa wanzuki, eti ulipie gharama za kumtunza jela unaemdai.
   
 10. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanasheria wa JF kiboko. loh
   
 11. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu labda kama hukuelewa, ni vizuri ukajua kuwa utaratibu wa kumkamata na kumshweka jela mdaiwa upo katika nchi nyingi duniani iwapo mdaiwa anashindwa kuheshimu amri ya mahakama ya kulipa deni au anakwepa kwa njia moja au nyingine kulipa deni. Vinginevyo, kama ingekuwa ni madai ni mahusinao binafsi, pasingekuwa na haja ya kuyapeleka katika vyombo vya Sheria ili haki itendekea. Kama pasingekuwa na utartaibu kama huu pia, wadai wengi wangeishia kutembea na maamuzi ya mahakama mikononi pasipo kuwa na maana yeyote hasa kwa wadaiwa sugu na ambao hawapo tayari kukubaliana na hukumu za mahakama. Mahakama zingedhalaulika sana.

  Kama hukujua, soma sheria ya Mwendo wa Madai (Civil Procedure Act No. 49/1966 utayakuta haya:

  Section 68 : In order to prevent the ends of justice from being defeated the court may, subject to any rules in that behalf-
  (a) issue a warrant to arrest the defendant and bring him before the court to show cause why he should not give security for his appearance, and if he fails to comply with any order for security commit him as a civil prisoner;

  (c) grant a temporary injunction and in case of disobedience commit the person guilty thereof as a civil prisoner and order that his property be attached and sold;

  Section 44.-(1) A judgment-debtor may be arrested in execution of a decree at any hour and on any day, and shall, as soon as practicable, be brought before the court, and the court may order his detention:

  Section 46. - (1) Every person detained as a civil prisoner in execution of a decree shall be so detained-

  (a) where the decree is for the payment of a sum of money exceeding one hundred shillings, for a period of six months; and

  (b) in any other case, for a period of six weeks:


  Provided that he shall be released from such detention before the
  expiration of the said period of six months or six weeks, as the case
  may be-
  (i) on the amount mentioned in the warrant for his detention being paid to the officer in charge of the prison; or
  (ii) on the decree against him being otherwise fully satisfied; or
  (iii) on the request of the person on whose application he has been so detained; o

  (iv) on the omission by the person on whose application he has been so detained to pay subsistence allowance:

  Provided, further, that he shall not be released from such detention under clause (ii) or clause (iii) without the order of the cour
  (2) A judgment-debtor released from detention under this section shall not merely by reason of his release be discharged from his debt.
  Section 55. Where the court is satisfied that the holder of a decree for the possession of immovable property or that the purchaser of immovable property sold in execution of a decree has been resisted or obstructed in obtaining possession of the property by the judgment-debtor or some person on his behalf and that such resistance or obstruction was without any just cause, the court may, at the instance of the decreeholder or purchaser, order the judgment-debtor or such other person to be detained as a civil prisoner for a term which may extend to thirty days and may further direct that the decree-holder or purchaser be put into possession of the property.

  Order XXI, Rule 28 - Every decree for the payment of money, including a decree for the payment of money as t he alternative to some other relief, may be executed by the detention as a civil prisoner of the judgment-debtor or by the attachment and sale of his property, or by both.
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yaaani kwanza wewe mwenyewe mleta mada unaleta mada ya sheria unaweka kwenye forum ya siasa. Watanzania taace ku politise kila kitu.

  Sasa unataka watu waijadili hii hukumu kisisasa au kisheria.?
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Elewa kuwa nayemlipia siyo wewe mlipa kodi bali ni yule anayemdai!
  Ukiwa unamdai mtu, akikataa kukulipa unaweza kuomba mahakama imfunge kama civil prisoner, na wewe utalazimika kumlipia huko jela! Mantiki ni kumfundisha adabu na kumpa adhabu ya kumnyima uhuru ili asikie uchungu alipe deni.
   
Loading...