Hakimu genius.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,437
1,024
Vijana wawili walipelekwa mahakamani kwa tuhuma za ubakaji.Kila mmoja aliletwa mahakamani sambamba na mwanamke aliyembaka.Mmoja alimbaka msichana mrembo balaa na mwingine alimbaka msichana mbaya kuliko hata masoud.Hakimu akatoa hukumu kama ifuatavyo;Mtuhumiwa namba 1,umekiri kumbaka huyu binti mrembo lakini hata mimi ningekuwa wewe ningefanya vivyo hivyo kwasababu huyu binti ni mrembo mno,kwa hiyo ulibaka bila kukusudia,kuanzia sasa uko huru.Mtuhumiwa wa pili,umekiri kumbaka huyu binti mbaya wa sura,inaonesha huyu binti hakukuvutia kwa lolote ila umembaka kwa kumkomoa tu,kwa kosa hili nakuhukumu miaka 20 jela na kazi ngumu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom