Hakikisha Unaoa bikra

Upo sahihi mkuu. Kigezo cha mwanamke wa kuoa kwanza ni Bikra, kisha akili upstairs, tatu maadili na familia alipotokea kisha uzuri ndio ufuate. Nikipata wa sifa hizo nipo tayari kuoa.

Hata wao wana vigezo vyao. Ila tukiweka vyetu wanatukana, tuwapuuze.
 
Reactions: Nus
Ila kweli unaoa mtu Hana kitu chochote cha thamani ila yeye anataka aje kutafuna ma hela yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…