Hakikisha unajipatia nakala yako mapema


Hii series nimewahi icheki. Ina seasons na episodes kibao, alafu kiasi fulani inafanana fanana kidogo na season fulani hivi ya series ya 24. Rais alikuwa anapiga dili za hatari na kujikinga kwa kutumia cheo chake, yaani rais ndo alikuwa boss wa mamafia fulani hatari. Hao kwenye cover mmoja alikuwa waziri na mmoja mbunge, alikuwa anapiga nao dili. ila baadae mambo yariharibike. Kali sana hii series.
 
Madaktari wamempa miezi minne asifanye kazi ngumu, ndani ya hii miezi ukikutana na firstlady tia neno upige mzigo

mkuu unataka yakukute ya seya...kishipa yeye hula vya wenzake tu ila vyake vikiliwa anakuwa mkali huyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…