ewe mdada/mkaka hakikisha umetongozwa kwanza kabla ya kuanza mahusiano yakimapenzi na mtu yeyote.
ile stail yakuzoeana tu na mkajikuta mnafanya mambo wanayotakiwa kufanya wapenzi itakutokea puani, pale utakapoanza kufikia future na mtu kumbe walaaaaa hajui kama wewe nimpenz i wake,
mtu anaweza akakutongoza tena ukakubali kwa mbinde lakini kumbe hakutambui kama ni mpenz wake. Siri ya moyo, akishagonga ikulu utaanza kushangaa mwenyewe
at least hiyo ulitongozwa ukakubali kuanza mahusiano,kudanganywa kupo sana tu , ila hujatongozwa kutwa kumuita mtu hubby/wife shaaaa hayo majina unayatoa wapi kwani kasema anataka uwe mme/mke wake si hisia tu hizo
ewe mdada/mkaka hakikisha umetongozwa kwanza kabla ya kuanza mahusiano yakimapenzi na mtu yeyote.
ile stail yakuzoeana tu na mkajikuta mnafanya mambo wanayotakiwa kufanya wapenzi itakutokea puani, pale utakapoanza kufikia future na mtu kumbe walaaaaa hajui kama wewe nimpenz i wake,
hapa ni 50/50, wengne hawatongozani wanazoeana na finally wanajkuta ktk mahusiano. Yanadumu kuliko hata waliotongozana. Mfano mimi mwenyewe
ewe mdada/mkaka hakikisha umetongozwa kwanza kabla ya kuanza mahusiano yakimapenzi na mtu yeyote.
ile stail yakuzoeana tu na mkajikuta mnafanya mambo wanayotakiwa kufanya wapenzi itakutokea puani, pale utakapoanza kufikia future na mtu kumbe walaaaaa hajui kama wewe nimpenz i wake,
kwanza muulize anajuwa maana ya kutongoza? from no where tu mtu akuvulie chupi? hii ni thread
hujawahi ona, upo na mtu more than a year na hajawahi kukutongoza na unavua chupi kila siku baadae ukiachwa unaanza kumlaimu kwa lipi hass hata anniversary ya mapenzi yenu huijui

kwahiyo ulijipeleka mwenyewe machinjioni bila yeye kukushawishi kama yuko interested na wewe?