josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 640
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Acheni kulialia, tunawasubiri huku mtaani tupandishe kodi za nyumba….. mishahara si imepanda bhana.!
Uzalendo pembeni... Zikikaa vibaya ni kukwapua tu... No way.!!!Promo zote zile, mbwembwe zote mlivyotuuzisha sura kwa wananchi, tunawaeleza nini ndg zetu waamini tumeongezwa elfu 30???
Binafsi sijashangaa maana sijawahi kuwa na imani na yule mnyiramba, ana kiburi kweli kweli na mbaya zaidi ni kipenzi cha maza.
Tutalipiza huko makazini.
Na mbaya zaidi ulijua lazima tu utaongezewa laki! Na serikali hii hii ya ccm! Inayojiendesha kwa kutegemea tozo na mikopo kutoka kwa mabeberu.Mimi nimeongezewa elf20 dah! sijui nitaambia nini niliokuwa nabishana nao!
Na alivyokuwa mjanja anaichukua tena hiyo aliyoiongeza kupitia tozo ya miamala ya bankPromo zote zile, mbwembwe zote mlivyotuuzisha sura kwa wananchi, tunawaeleza nini ndg zetu waamini tumeongezwa elfu 30???
Binafsi sijashangaa maana sijawahi kuwa na imani na yule mnyiramba, ana kiburi kweli kweli na mbaya zaidi ni kipenzi cha maza.
Tutalipiza huko makazini.
...Wewe inaelekea ni Wale wale Walamba Sukari wa Nchi hii!.....acha uongo ww mshahara umeongezwa kulingana na madaraja acha kupotosha watu hivi mtu analipwa mil 7 unataka wamuongezee kiasi gani kama sio ujinga
Na waliyataka wenyewe. Mei Mosi Serikali ilitangaza ongezeko lakini haikusema kwa kiwango gani kwa lengo la kudhibiti mfumuko wa bei. Wazenji walipotangaziwa % ya ongezeko la kima chini nao wakaishinikiza Serikali iwatangazie. Wametangaziwa % ya ongezeko kwa kima cha chini wanaweka matumaini kwa % isiyowahusu.Acheni kulialia, tunawasubiri huku mtaani tupandishe kodi za nyumba….. mishahara si imepanda bhana.!
Unataka kusemaje mtumishi😁😁😁😁Mama anato... 😟
Anatoa ufafanuzi wa jambo hili hivi karibuni.Tumvumilie.
Kwamba, anato.....anatoa matumaini makubwa kwa hii nchi huko mbeleni.Unataka kusemaje mtumishi😁😁😁😁
Kwenye basic au take home?Mimi nimeongezewa elf20 dah! sijui nitaambia nini niliokuwa nabishana nao!
Basic ni elf29 take home elf20Kwenye basic au take home?
hakuna mtumishi aliye punjwaPromo zote zile, mbwembwe zote mlivyotuuzisha sura kwa wananchi, tunawaeleza nini ndg zetu waamini tumeongezwa elfu 30???
Binafsi sijashangaa maana sijawahi kuwa na imani na yule mnyiramba, ana kiburi kweli kweli na mbaya zaidi ni kipenzi cha maza.
Tutalipiza huko makazini.