Hakika waafrika "watanzania" tujifunze kwa hili.

vedm

Member
Jul 11, 2015
8
1
kutokana na mchezo wa siasa ulivyo kwa sasa nchini mwetu tuelewe na tukubali kwa hakika siasa haina adui wa
kudumu.


swala la msingi ni kufuta mawazo ya kizamani kwamba malengo, maono au ndoto zako zitatimizika ktk chama chako au mazingira ulipo.

jambo la msingi ni kusoma alama za nyakati na uelekeo wa jamii.

"umuhimu wa sweter utuona wakati wa baridi"
 
Back
Top Bottom