Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Kuna jambo muhimu la kujifunza kutoka kwa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mh. Kikwete.
Mhhh!!!,hapana mkuu,hapa inamhusu kila mtu.kwahio unaongelea tukio la jpm na yule jamaa wa WHO au
sawa nikajua unamjaribu baba mwenye nyumba kama napeMhhh!!!,hapana mkuu,hapa inamhusu kila mtu.
Teh! teh!, huyo alisema kuwa hajaribiwi.sawa nikajua unamjaribu baba mwenye nyumba kama nape
duh mbona maaskofu na nape wanamjaribuTeh! teh!, huyo alisema kuwa hajaribiwi.
Hao kwa nafasi zao haina shida, lkn mtu kama mimi Karubandika nikijidai namkosoa, basi siku zangu lazima zihesabike tu, nitaundiwa zengwe babu kubwa mpaka nijute kwanini nilizaliwa.duh mbona maaskofu na nape wanamjaribu