Hakika siku ya leo sitaisahau maishani mwangu

Habari,

Katika maisha ya binadamu kuna mapito ambayo huwezi kuyapitia nami siku ya jana na leo huenda zikawa siku ngumu zaidi maishani mwangu kwa kupata wagonjwa 3 kwa kipindi kimoja na ote kuwa hoi kwa wakati mmoja.

Kwa sisi waislamu ugonjwa ni ibada lakini hakuna kitu kinachouma kama unampeleka mgonjwa hospital alafu anawekewa mpka oxygen lakin hamuambiwi tatizo ni nini.

Wagonjwa wenyewe ni baba yangu mzazi,baba yangu mkubwa na mjomba wangu ote wa familia moja.

Tumepambana tuwezavyo jana saa 2 asubuhi amefariki baba yangu mkubwa,wakati tunaandaa mwili,mjomba nae amefariki.

Tukiwa katika hali ya kuendelea na taratibu nyengine asubuhi hii baba yangu amefariki.

Wagonjwa ote ilibidi wawekwe I.C.U kati ua hospital ya regency, hindu mandal,na tmj lakini zote I.C.U zilikuwa zimejaa.

Kwa upande wa mochwari ningeomba nikae tu kimya

Yarrab naomba nipe nguvu katika kipindi hiki kigumu
Innalillah Waina Ilaihi Rrajiun.poke ALLAH AKUPE UVUMILIVU
 
AKILI ZA KUAMBIWA
Sijui kama kuna mtu anaweza kujiombea mabaya yeye mwenyewe kama haya yalio mfika mwenzetu. Kama yupo! kwenye ubongo wake kutakuwa na nyaya zimekatika, tumpe pole tu. Maana kama ameamua kudanganya katika ulimwengu huu hawezi kukosa picha za kutuonyesha.
 
Pole Sana mkuu..lkn hii issue ni sensitive how did you get a time to write here... I hope ungekua kwenye mojonzi ...yote kwa yote pole Sana mkuu
Maana hata Mja mwenyewe hapendi ambo ya uzushi! Ndiyo maana amewaandalia sehemu ambayo watakaangwa kama maandazi ya kumimina?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom