Utapata mume usijali haya ndiyo wayapendayo vijana.Sina vifaa vya massage [emoji41]
Yani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia
Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa
NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]
Hapo ndipo unapokwamia sasa humjui kijana machachari wa kuitwa sadc??Sadac ndo Nini?
Nimekuelewa mnoooooooAn intelligence agency is a government agency responsible for the collection, analysis, and exploitation of information in support of law enforcement, national security, military, and foreign policy objectives.
Weusi ungependa
Mweusi hafu mfupi pia mnene
Hebu weka picha yakoYani natamani Sana ndoa sijui kwanini ,Yani natamani niwe na mwanaume wangu nimdekeze nisumbue sumbue kumnyoshea nguo kumpikia akipendacho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] yaniiia
Ila naona wakati bado niliambiwa jf ntapata nimejaribu naona hakuna mwenye uhitaji wa kuoa
NgojA niendeleee kusubiri [emoji41]