HAKIKA NI MSIBA KWA TAIFA

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
211
145
Serikali imetangaza Rasmi siku tatu za Maombolezo kitaifa kwa Bendela ya Taifa kupepea Nusu Mlingoti...kuanzia kesho hadi J3

Mungu awatie Nguvu wafiwa na wahanga wa Ajali hii ya MV Nyerere, Mbele yetu Nyuma yao kesho yetu ni Giza Nene.... R.I.P
FB_IMG_1537550126665.jpg
 
Back
Top Bottom