Hakika naye anamtumaini Mungu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,198
103,731
EuwyWlUXcAAWlJA.jpeg
EuwyWlUXAAEPdSF.jpeg
EuwyWkdXEAMu55b.jpeg

Just to be curious. Hii ina maana kuwa Mungu yupo, na yeye ndiye akupae akili ya kujilinda
 
Nashindwa kuelewa huyo mungu anaesema atatulimda dhidi ya corona anashindwa nini kumlinda yeye aachane na nyomi ya walinzi?

Yeye amesema haogopi corona mungu yupo, sasa huyo mungu anawezaje kumlinda dhidi ya corona na akashindwa kumlinda dhidi ya maadui zake wengine?

Gwajima anasema mungu atatulinda huku ana walinzi wamejaa hadi kanisani, huyo mungu ambae hawezi kumlinda hata akiwa kanisani anaombea waumini atawezaje kutulinda dhidi ya corona?
 
Ishara za mtu mnafiki ziko tatu..!
 
Hakuna mtawala yeyote asielindwa toka misingi ya Dunia kuumbwa.
Kujinyenyekeza kwa Mungu ni uchaguz na uamuzi wa Mtu mwenyewe.
Halafu mambo kama Haya yanawasaidia sasa ninyi?
 
Madhara ya kupewa nafasi iliyomzidi kimo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom