Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Mwanamke anakua mrahisi kwa mtu anaeshinda nae muda mwingi haijalishi pesa ipo au sura ngumu ila ukizoeana tu na mwanamke asilimia za kumla ni 90%
Kwaiyo mtoa uzi yupo sahihi mfano mimi sina mvuto kwa wanawake yani nikipita apo akuna mwanamke anaweza shtuka ila wale niliozoeana nao wote nishatafunatafuna, kwaiyo uko maofisini mabalaa lazima yawepo tu akuna namna chamsingi kumbushaneni kujilinda na maradhi tu mwanamke ukimpa time yakutosha anavua chupi tu hata kwenye utani

Sent from my motorola one macro using JamiiForums mobile app
 
Salamu ndugu zangu

Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele

Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby wa ofisini wenzake watamsukumizia na kumsumbua mpaka akubali kuwa na baby boy wake wa ofisini. Haya ndiyo tunayo yaona huku maofisini ndugu zangu

Enyi wanaume mliooa wanawake waajiriwa jueni jambo hili kwamba kwenye ndoa zenu hamko peke yenu, mwanamke wako aliye ajiriwa huku ofisini ana mume wake pia na wanapanga mpaka siku ya valentine days namna watakavyo nyanduana nakufurahia siku yao

**Huyo mkeo mwajiriwa aliye kua ana kusaidia ukikwama ipo siku ukweli na kuambia atakataa kukusaidia vijisenti kidogo kumbe huyu mumewe wa kazini kwake kamwambia hela ya mwanamke haina matumizi, haitumiki na haihesabiki ndani ya ndoa ni ya kwake peke yake

**Huyo mkeo ana mume wake wa ofisini anaye muomba hela na kumsimulia madudu yako unayomfanyia huko ndani ya ndoa yenu, atamuambia huyo baby wake wewe unamtesa na haumpi raha ya maisha.

**Huyo mkeo mwajiriwa ana mume wake ambae siku wakienda ziara za kikazi au kwenye semina anampa utelezi huku anakung'ong'a wewe, hakika anampea yote kuliko anavyokupea wewe huko ndani ya ndoa

**Hakika huyo mkeo muajiriwa ana mume wake ofisini anayemliwaza na kumpafuraha ambazo nyumbani ana sema hazipati , huku atabebwa, atakumbatiwa kwa mahaba mazito huku akinusa harufu ya manukato mazuri ya mume wake wa kazini si chini ya sekunde , watatoka breakfast na lunch time huku wameshikana mikono atakula kwa bili ya mumewe wa kazini tena sehemu za migahawa nzuri nzuri na wakimaliza watarudi ofisini huku akiwa na furaha tele wakipiga story za hapa na pale

**Huyo mke wako ana mume wake ambaye huku kazini watacheza na kufanya utoto wote ikiwemo kumvuta kwenye hivi viti vya matairi boss akiondoka, kutaniana na kumshikashika mpaka aloe shwaaa

**Huyo mkeo muajiriwa hakika ipo siku atachelewa kurudi nyumbani akisingizia anapiga kazi hadi overtime atasema ana extra days ila kaa ukijua yupo na mumewe wa ofisini akila maisha huku anakung'ong'a wewe mumewe wa ndoa

**Huyo mkeo mbaya zaidi akiwa ofisi moja na ex-wake kaa ukijua wewe ni geresha tuu na huyo ex wake ndiye mumewe ni vile tuu analala kwako

**Huyo mkeo mwajiriwa ipo siku atakuambia amechoka maisha haya ya mateso ili hali humtesi kumbe kapumbazwa na mumewe wa ofisini kwake

**Hakika huyo mkeo wa ndoa atakuwekea visirani, visasi, na viugomvi ugomvi ili uingie kingi mfarakane aivunje ndoa mgawane mali aweze kwenda kuenjoy na baby wake wa kazini

**Hakika huyo mkeo wako ana mume wake wakazini anaye mzuzua mpaka akuone wewe mumewe humpi uhuru na ataanza kukudai uhuru hakika.

***Ndugu zangu wanaume wanawake waliumbwa kwaajili yetu na sio sisi kwaajili yao, sasa kaa ukijua huyo mkeo wa ndoa mama watoto wako muajiriwa huku kazini kwake ana mume wake wanae kula nae maisha
unachokisema n kweli mzee , huku ofisn nmeshuhudia boss wangu anamla mke wa mtu bila uoga, Tena haend hata lodge au hotel humo humo ofisn kwetu, naishia kufunga Domo langu tu ili nitetee ugali wangu , Tena sio mke wa mtu mmoja n Zaid ya wawili Hadi ikafika hatua wake za watu wanagombana kisa boss, yaan n maumivu wakuu acha tu
 
Ni ofisi binafsi au ya umma?
 
Eti kuna wanaume wamekubali kuwa mabwege ili mradi maisha yasonge,
wanachapiwa wanakausha mi ni bora nife mseja kuliko kuja kuuwa toto la mtu, kwa sababu hakuna mwanamke mzuri aliyewahi kunizuzua wote naonaga mafamba tu tabia na haiba ndo zitanivutia ila sio sura wala tako
 
Salamu ndugu zangu

Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele

Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby wa ofisini wenzake watamsukumizia na kumsumbua mpaka akubali kuwa na baby boy wake wa ofisini. Haya ndiyo tunayo yaona huku maofisini ndugu zangu

Enyi wanaume mliooa wanawake waajiriwa jueni jambo hili kwamba kwenye ndoa zenu hamko peke yenu, mwanamke wako aliye ajiriwa huku ofisini ana mume wake pia na wanapanga mpaka siku ya valentine days namna watakavyo nyanduana nakufurahia siku yao

**Huyo mkeo mwajiriwa aliye kua ana kusaidia ukikwama ipo siku ukweli na kuambia atakataa kukusaidia vijisenti kidogo kumbe huyu mumewe wa kazini kwake kamwambia hela ya mwanamke haina matumizi, haitumiki na haihesabiki ndani ya ndoa ni ya kwake peke yake

**Huyo mkeo ana mume wake wa ofisini anaye muomba hela na kumsimulia madudu yako unayomfanyia huko ndani ya ndoa yenu, atamuambia huyo baby wake wewe unamtesa na haumpi raha ya maisha.

**Huyo mkeo mwajiriwa ana mume wake ambae siku wakienda ziara za kikazi au kwenye semina anampa utelezi huku anakung'ong'a wewe, hakika anampea yote kuliko anavyokupea wewe huko ndani ya ndoa

**Hakika huyo mkeo muajiriwa ana mume wake ofisini anayemliwaza na kumpafuraha ambazo nyumbani ana sema hazipati , huku atabebwa, atakumbatiwa kwa mahaba mazito huku akinusa harufu ya manukato mazuri ya mume wake wa kazini si chini ya sekunde , watatoka breakfast na lunch time huku wameshikana mikono atakula kwa bili ya mumewe wa kazini tena sehemu za migahawa nzuri nzuri na wakimaliza watarudi ofisini huku akiwa na furaha tele wakipiga story za hapa na pale

**Huyo mke wako ana mume wake ambaye huku kazini watacheza na kufanya utoto wote ikiwemo kumvuta kwenye hivi viti vya matairi boss akiondoka, kutaniana na kumshikashika mpaka aloe shwaaa

**Huyo mkeo muajiriwa hakika ipo siku atachelewa kurudi nyumbani akisingizia anapiga kazi hadi overtime atasema ana extra days ila kaa ukijua yupo na mumewe wa ofisini akila maisha huku anakung'ong'a wewe mumewe wa ndoa

**Huyo mkeo mbaya zaidi akiwa ofisi moja na ex-wake kaa ukijua wewe ni geresha tuu na huyo ex wake ndiye mumewe ni vile tuu analala kwako

**Huyo mkeo mwajiriwa ipo siku atakuambia amechoka maisha haya ya mateso ili hali humtesi kumbe kapumbazwa na mumewe wa ofisini kwake

**Hakika huyo mkeo wa ndoa atakuwekea visirani, visasi, na viugomvi ugomvi ili uingie kingi mfarakane aivunje ndoa mgawane mali aweze kwenda kuenjoy na baby wake wa kazini

**Hakika huyo mkeo wako ana mume wake wakazini anaye mzuzua mpaka akuone wewe mumewe humpi uhuru na ataanza kukudai uhuru hakika.

***Ndugu zangu wanaume wanawake waliumbwa kwaajili yetu na sio sisi kwaajili yao, sasa kaa ukijua huyo mkeo wa ndoa mama watoto wako muajiriwa huku kazini kwake ana mume wake wanae kula nae maisha
Kuna wauza nyanya wanakula wake za watu kwa nyongeza ya nyanya moja tu tena masalo,kuna wauza duka nyongeza kidogo ya mafuta ya kula anakula mke wa mtu,kuna wauza mkaa nyongeza kidogo ya mkaa anajipigia mke wa mtu,bado kuna bodaboda,wauza mboga za majani nk.

Hivi vitu kumuomba Mungu upate mke anaye kupenda na mwenye hofu ya Mungu, la sivyo awe mwajiriwa au mama wa nyumbani ,kama akiwa anatamaa,hana akili wala hofu ya Mungu watamla tu.
 
unachokisema n kweli mzee , huku ofisn nmeshuhudia boss wangu anamla mke wa mtu bila uoga, Tena haend hata lodge au hotel humo humo ofisn kwetu, naishia kufunga Domo langu tu ili nitetee ugali wangu , Tena sio mke wa mtu mmoja n Zaid ya wawili Hadi ikafika hatua wake za watu wanagombana kisa boss, yaan n maumivu wakuu acha tu
Kukulana ofisini siku hizi ndio style mpya. Bosi anaminyaminya tako. Akilipenda tako, anasogeza mafaili na laptop kidogo. Mtu analiwa
 
Back
Top Bottom