Kwani mateso yanatoka kwako nyumbani au mateso yaneletwa na Mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais Maliyamungu Bashite? au ni kujifariji kivipi? Huko CCM mkisikia mpinzani kawambia Ukweli mnatafasiri ni kujifariji? ina maana mnafanya makusudi kuwanyanyasa Wapinzani?Kwa kujifariji tu hamjambo.
Aendelee kua siasani ila asiwe mwenyekiti tu, anatia doa demokrasia.Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.
Dr Akili ungetumia akili kidogo ingekusaidia. Hivi mfano kama hiyo ya kuchoma vifaranga ni mwaka juzi?Hiyo spichi ni ya mwaka juzi kabla hajachanganyikiwa na kuota mvi nyeupe. Sasa hivi ni full matusi, uchochezi na uhaini! Hata bungeni hahudhurii tena, bila ruhusa ya spika. Bunge la bajeti karibu linaisha hajahudhuria hata siku moja. Spika atakapomchukulia hatua matusi atakayoyatoa itatubidi tuzibe masikio!
Jipangeni aisee ili msiishie kudanganywa na utamu wa pilau mkashindwa kuhoji mengi yaliyojificha nyuma ya pazia.Kwani mateso yanatoka kwako nyumbani au mateso yaneletwa na Mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais Maliyamungu Bashite? au ni kujifariji kivipi? Huko CCM mkisikia mpinzani kawambia Ukweli mnatafasiri ni kujifariji? ina maana mnafanya makusudi kuwanyanyasa Wapinzani?
Ombi - Utoaji wa mimba uruhusiwe ili kuwaepusha wazazi na aibu .Hatuna huo muda wa kusikiliza ujinga!
Ulisoma ripoti yote?Hahahaa..... kwa ujasiri anaouonyesha itabidi mumsamehe ile 7 bil aliyosema CAG!
Yupo sahihi kwa vipi wakati kila mtu ameona Mbowe hahudhurii vikao vya bunge vya bajeti. Kila mtu aliona na kusikia jinsi Mbowe alivyoporomosha matusi alipotoka rumande akiwa na ndevu nyeupe! Ametoka rumande akiwa 'a totally changed person mentally and physically'.Mbona yuko sahihi kabisa!
Hapana, niliishia pale chadema ilipofisadi ruzuku yote!Ulisoma ripoti yote?
Kuna Jasiri zaidi kakomba 1.5 trillion.
Ongea ya m.kiti mbowe kamwe huwezi kumfananisha na wenu.Kwa kujifariji tu hamjambo.
Mkuu Usiwe Kama Mawaziri wa CCM wanao saini Mikataba bila Kuisoma..Hapana, niliishia pale chadema ilipofisadi ruzuku yote!
Mimi siyo kama mzushi Zitto mkuu!Mkuu Usiwe Kama Mawaziri wa CCM wanao saini Mikataba bila Kuisoma..
Pitia Ripoti yote Mkuu Kuna Zaidi ya Chadema..
Weka ushahidi hapa!Yupo sahihi kwa vipi wakati kila mtu ameona Mbowe hahudhurii vikao vya bunge vya bajeti. Kila mtu aliona na kusikia jinsi Mbowe alivyoporomosha matusi alipotoka rumande akiwa na ndevu nyeupe! Ametoka rumande akiwa 'a totally changed person mentally and physically'.
Talk is cheap kama huumizi akili kufikiri!Jipangeni aisee ili msiishie kudanganywa na utamu wa pilau mkashindwa kuhoji mengi yaliyojificha nyuma ya pazia.
Mbowe ni fundi wa kuongea na kujenga hoja, lakini vipi kuhusu chama chake kuwapa nafasi vijana wakaleta mawazo na mchango mpya?. Tangu 2004 mpaka leo ni miaka 14, jamaa bado kashikilia nafasi yake huku akiwadanganya kwa eloquence taaamu kama sukari!!.
Badilikeni, vinginevyo mtabakia mkikosa muelekeo mpya wa uongozi, mtabakia mkikosa busara mpya za kiuongozi.
Miaka 14 madarakani ndio yale yale kina Kagame, Mugabe na Museveni, ni kudumaa kwa demokrasia katika chama chenye neno demokrasia kama utambulisho wake.