Hahahaa..... kwa ujasiri anaouonyesha itabidi mumsamehe ile 7 bil aliyosema CAG!Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.
Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.
Muda wa kusikiliza rubbish report za makinikia ulikuwa nao?!Hatuna huo muda wa kusikiliza ujinga!
Shukrani kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwezesha Mbowe kuzaliwa Tanzania , huyu mtu ni tunu ya Taifa .Mbowe ni aina ya wanasiasa adimu sana ktk nchi hii na barani Afrika kwa ujumla
Mbowe hotuba zake huwa zimejaa hoja zenye mantiki
Kumchukia Mbowe na aina ya siasa zake lazima uuvue werevu na kuuvaa upumbavu
Mbowe is the best political figure in Tanzania
Hatuna huo muda wa kusikiliza ujinga!
Hauna mda na nani? Sema upo peke yako kwani ujinga mwingi upo CCM, mda wa kusikiliza maigizo ya Naibu Rais Maliyamungu Bashite na Mtukufu malaika toka chato unao?Hatuna huo muda wa kusikiliza ujinga!
Tena kibaya vile vyote anavyolalamikia baadae huwa Dili za kimya kimya kama sasa Makinikia yanaenda Ulaya kimya kimya na wanapiga pesa wenyewe.Kuna mwenyekiti wa chama cha makinikia yeye akiongea hotuba zake zote ni kutukana na kufokafoka kama mwendawazimu
Hiyo spichi ni ya mwaka juzi kabla hajachanganyikiwa na kuota mvi nyeupe. Sasa hivi ni full matusi, uchochezi na uhaini! Hata bungeni hahudhurii tena, bila ruhusa ya spika. Bunge la bajeti karibu linaisha hajahudhuria hata siku moja. Spika atakapomchukulia hatua matusi atakayoyatoa itatubidi tuzibe masikio!Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.
Kwa kujifariji tu hamjambo.