Hakika mapenzi ni darasa tosha, nahitaji ushauri wako!!

Hakika mapenzi ni darasa tosha, nahitaji ushauri wako!!

Achana na huyo jamaa,mpenziyo ndiye wa kudeal nae,just mweleze unavyompenda na usingependa kumpoteza,
naamini huyo siyo mwanaume wa kwanza kumtongoza.
Kama bidada ni mwelewa ataelewa,

Ahsante kwa ushauri mkuu,..
 
Mpenzi wangu ni wa kawaida, siyo wa kuwatisha wanaume kiviile

Siku utakapomuona kuwa ndiyo mwanamke mzuri kuliko wote uliowahi kuwaona ndipo utakapokuwa tayari kuoa.

Kwa sasa huyo Principal Accountant amemwambia (hata kama kamdanganya) she is the most beautiful lady he has ever set eyes on...#ushaibiwa
 
Ogopa sana mwanamke anayekuambia mwanaume aliyemtongoza much worse akakupa mpaka number zake za simu!
Take it from me!
 
Ogopa sana mwanamke anayekuambia mwanaume aliyemtongoza much worse akakupa mpaka number zake za simu!
Take it from me!

Well noted mkuu,.

Kwanini afanye hivyo lakini?
 
kwahiyo miaka 20 unaamini ni mkubwa?

Sijasema ni mkubwa mkuu, si unafahamu mtu ambaye una future plan naye lazima uhakikishe yupo salama nyakati zote?
 
hapa umenipa idea mpya mkuu ntaifanyia utafiti

Hahahahahaahaha huwa mnaamini tukiwaambia ndo tumejisubmit mazima!
Yani naanzaje kukwambia huyu ananitaka ili?
Unione naive
Unione sina namna ya kudeal nae
Unione we ndo mwenye maamuzi ya mwisho
Mfyuuuuuuuuuu !bichwa likuwe kubwaaaa hahahahahaha
 
Kwanini unakuwa na mashaka mkuu?

kitendo cha kukuambia kuwa ametongozwa hapo anakuaminisha ww kuwa ujue hana mpango naye kumbe wapo in love..
Vilvile kitendo cha kutokupa namba ya huyo jamaa direct ni dalili moja wapo hvyo atakupa baadae mpaka watakapo panga jinsi ya huyo jamaa atakavyokujibu. Hapo lazma atamwambia kuwa mchumba wangu atakupigia hvyo jipange namna ya kujibu.
Hyo nimeiyona kwa rafki yangu
 
Daaah!pole sana kk.All Iz abt love,I hate it!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Well noted mkuu,.

Kwanini afanye hivyo lakini?

Very simple!
Ngoja nikwambie mwanamke haitaji ulinzi wa misuli ya mwanaume wake ili kutokuwa na mahusiano na mwanaume mwingine!
Nikiwa sitaki sitaki TU!
Nikitaka hata ufanyeje nitakuwa nae TU!
 
Sijasema ni mkubwa mkuu, si unafahamu mtu ambaye una future plan naye lazima uhakikishe yupo salama nyakati zote?

Unaamini usalama ni kumpigia simu huyo principal na kumwambia "asee muache mpenzi Wangu?"
Kama mpenzi wako hawezi kujisimamia mwenyewe mpk umri huo umeumia!
Atakushtakia wangapi?
Utapigia wangapi simu?
Sooooo very kiddish!
 
Hahahahahaahaha huwa mnaamini tukiwaambia ndo tumejisubmit mazima!
Yani naanzaje kukwambia huyu ananitaka ili?
Unione naive
Unione sina namna ya kudeal nae
Unione we ndo mwenye maamuzi ya mwisho
Mfyuuuuuuuuuu !bichwa likuwe kubwaaaa hahahahahaha

hahahahah haya mkuu ishantokea tena mda si mrefu, ntaifanyia kazi idea yako snowhite
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom