Hakika maisha yanabadilika kwa speed ya light

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,848
2,000
*```Status zilizokiki kipindi cha JK```*
1. Nikiwa beach napunga upepo
2. With my kids enjoying the day
3. Wakati nipo na masela tukichafua Meza si mchezooo
4. Nikiwa natoka Airport kwenda home likizo
5. Enzi za ubora wangu
6. Feel blessed
7. Thankful
8. Nice Moment
9. Cheers
10. The day I enjoyed never ever


*```Status zinazoongoza wakati wa JPM.```*
1. Nimekukimbilia ewe bwana nisiaibike milele
2. Bwana ndiwe mchungaji wangu
3. Bwana ndiwe mweza wa yote
4. Ewe bwana nipiganie
5. Nitamshukuru bwana kila wakati
6. Bwana nipe macho nione
7. Sifa na shukrani zikurudia bwana
8. Mungu umemtupa mja wako
9. Bwana sikia kilio changu
10. Wamtumainio bwana ni kama mlima Sayuni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom