Hakika huyu ndiye Lissu

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
5,668
9,054
Kufuatia kushambuliwa kwake na risasi za rasharasha zipatazo 38 na 16 kuingia mwilini mwake hali iliyopelekea kuondoka nchini akiwa hajitambui kwa ajili ya matibabu.

Tundu Lisu huyu ambaye kama sio mapenzi ya Mungu tungekuwa tumeshaanza kumsahau kama watesi wake walivyotaka iwe lakini imeshindikana.

Baada ya miaka mitatu ya kuupigania uhai wake Tundu Lisu amerejea nyumbani akiwa na ari mpya ya kupambana na kuhakikisha anawaondolea mateso makubwa wa Tz ambao kwa miaka mitano walikuwa wakiteseka.

Tofauti na watu wengi ikiwemo nzi wa kijani walivotegemea kwamba akirudi nyumbani atakuwa mwoga na mtu wa kujifungia chumbani kama wengi wangefanya kama yangewakuta yaliyomkuta lakini kwake ni tofauti.
.
Kina Polepole, Nape, Kibajaji, msukuma na wapiga domo wengine wa nzi wa kijani wamebaki wakiduwaa wasijue nini cha kifanya kwa kuwa wanajua Lisu sio Lowasa na sio level yao.

Lisu ukijichanganya kwake nae hakuachi anakulipua tena kwa data na ushahidi usio na shaka, hakika uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa patashika nguo kuchanika baada ya Lisu kurejea nchini.

Hakika huyu ndiye Tundu Lissu.
 
Kwenye hiyo list muondoe Nape.
 
Uchaguzi huru na wa haki utaleta uwiano mzuri wa wabunge. CCM inaliogopa hilo na ndio maana hufanya hila zote kwa kuvitumia vyombo vyote vya dola ili ishinde. Uwiano mzuri wabunge ni msingi mzuri wa hoja za ushindani bungeni. Kinyume chake ni usanii kama tunavyo shuhudia bungeni enzi hizi.
 
Kufuatia kushambuliwa kwake na risasi za rasharasha zipatazo 38 na 16 kuingia mwilini mwake hali iliyopelekea kuondoka nchini akiwa hajitambui kwa ajili ya matibabu.

Tundu Lisu huyu ambaye kama sio mapenzi ya Mungu tungekuwa tumeshaanza kumsahau kama watesi wake walivyotaka iwe lakini imeshindikana.

Baada ya miaka mitatu ya kuupigania uhai wake Tundu Lisu amerejea nyumbani akiwa na ari mpya ya kupambana na kuhakikisha anawaondolea mateso makubwa wa Tz ambao kwa miaka mitano walikuwa wakiteseka.

Tofauti na watu wengi ikiwemo nzi wa kijani walivotegemea kwamba akirudi nyumbani atakuwa mwoga na mtu wa kujifungia chumbani kama wengi wangefanya kama yangewakuta yaliyomkuta lakini kwake ni tofauti.
.
Kina Polepole, Nape, Kibajaji, msukuma na wapiga domo wengine wa nzi wa kijani wamebaki wakiduwaa wasijue nini cha kifanya kwa kuwa wanajua Lisu sio Lowasa na sio level yao.

Lisu ukijichanganya kwake nae hakuachi anakulipua tena kwa data na ushahidi usio na shaka, hakika uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa patashika nguo kuchanika baada ya Lisu kurejea nchini.

Hakika huyu ndiye Tundu Lissu.

Ndugai kimyaaa
 
Lisu ni:
1) Stone breaker - Leta jiwe uone
2) Master key - leta makufuri uone
3) Chief Brewer - Leta pombe ya aina yoyote uone
 
Back
Top Bottom