Hakika Hawa Ladies Wamependeza Saaana

Hakika Hawa Ladies Wamependeza Saaana

Je unaweza kuweka picha za ladies wengine unaoamini Wamependeza?


PrettiEbony01.jpg

Hii midoli jamani, hebu angalieni vizuri.., unless they are photoshoped ones..:cool2:
 
powerpoint tu hiyo... wakute bila hiyo photo edit uniambie

Au subiri ukute wametoka kuoga..utakimbia mbio za masafa marefu kwa suprise utakayokutana nayo
 
hah si mlitaka wadada waliopendeza??? mbona post za masister hazipo?
 
powerpoint tu hiyo... Wakute bila hiyo photo edit uniambie
daa mkuu umenikumbusha kuna picha niliiona mdada mzuri kweli duu muangalie live sasa anatisha!
 
Angekuwa dadako kakaa uchi hivyo akisifiwa kapendeza ungekubali au ungerusha ngumi??????????????
 
Back
Top Bottom