Hakika hakuna aliyetimia hapa duniani

Hakika hakuna aliyetimia hapa duniani

Kuna ujumbe mzito sana hapo, kazi kwenu wanawake.
 
Maisha Ni Kuvumiliana Mwanamke Mwenye Chura Kichwani Kunasoma Zero,
Mwenye Sura Nzuri Ni Kicheche wa Kiwango Cha Juu,
Mwenye Elimu Degree Holder na PhD Hadumu Kwenye Mapenzi Anakiburi na Madharau maisha Hayakupi Unachotaka but Unachotafuta
 
PILOT 7
Mmmmmmmh,
Mbona sasa kama naona ndoa zitaanza kutafutwa kwa tochi mchana kweupe kwa lugha na maneno haya jamani!?
 
PILOT 7
Mmmmmmmh,
Mbona sasa kama naona ndoa zitaanza kutafutwa kwa tochi mchana kweupe kwa lugha na maneno haya jamani!?
Wakati Unatafuta hitaji la Moyo wako woga hauna nafasi kufikia mafanikio
Muhimu kuvumiliana Tu
 
USHAURI WANGU KWA WANAWAKE
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.KWA SABABU...

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player

So listen to your heart..., na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect
Labda kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom