Hakika hakuna aliyetimia hapa duniani

Hakika hakuna aliyetimia hapa duniani

chavalla

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
451
Reaction score
354
USHAURI WANGU KWA WANAWAKE
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.KWA SABABU...

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player

So listen to your heart..., na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect
 
Mkuu kula like, umenenepa ukweli asilimia 75%
 
iam Handsome na Genious pia sema hizo zingine kwelii demu wangu ananiambia nipo rafuu saana
 
Mmmmh,

Hata sijui wanawake wanapaswa sasa wafanye nini ili kuwa na wanaume.

Maana, Daah kila siku hints mpya na ngumu ziada.
 
USHAURI WANGU KWA WANAWAKE
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.KWA SABABU...

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player

So listen to your heart..., na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect
Fanya kitu roho inapenda
 
kweli maisha ni kukubaliana kwa kutokubaliana , na uvumilivu juu, Ili maisha yaende
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom