Hakika chumba cha jirani ni shida

Hakika chumba cha jirani ni shida

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,160
Reaction score
11,263
Wadau nimeleta hii kwenu ili mnisaidie je jamaa chumba cha jirani anajua sana au hajui mambo

Maana usiku utaona wanaenda kuoga wote ajabu bibie akinogewa upiga kelele mpka wa nje uku tunasikia kukata shazi inabidi tujifungie ndani

Usiku mmelala unasikia tena bibie anaulilia

Mchana jamaa akirudi kazini wanajifungia unasikia tena bibie ana ulilia

Hakika chumba cha jirani ni shida
 
Inaezekana ndo hurka ya mwanamke kupiga kelele na mtu wa hivyo hua haezi labda mumewe achukue hatua za ziada kumbadilisha, kijijini kwa mume wangu kuna mdada anatabia hio kijiji kizima kinajua akianza gegedo tuu utajua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom