Hakika anaumwa tumuombee apone

Hakika anaumwa tumuombee apone

K
Tuache kujitoa ufahamu kwa ushabiki na mahaba ya kisiasa. Tueleze wewe amesimulia nini so far ambacho kilikuwa hakijulikani zaidi ya kuwa alipigwa risasi Dodoma. Na wahusika hawajakamatwa.
Kasisitiza nilichokuwa nakiamini kwamba alihujumiwa na serekali. Mkuu pamoja na porojo zooote, hebu toa maoni yako hivi unalichukuliaje hili la polisi kukamata yeyote anaye vaa nguo iliyo andikwa "pray for Lissu".
 
Jamani nduguzanguni watanzania huyu Tundu Lissu bado ni mgonjwa na kauli zake zinazopingana zenyewe inaonyesha hata akili yake imecheza kwa maana ya kwamba haijakaa sawa .Mambo anayoyaongea siyo ya kuyafuatilia na kuyatillia maanani.Na ndiyo maana hata katika imani nyingine mgonjwa aliyechanganyikiwa akiandika wosia wake unapuuzwa.
 
Haraka? anaandika Political Jurist_*

Jana Mhe Tundu Lissu amezungumza na wanahabari huku yeye na Salim Mwalimu wa Chadema wakibishana hadharani kuhusu lugha ya kutumia.

Kwa nia ovu waliyokuwa nayo dhidi ya Serikali yao wenyewe inaonekana walijiandaa wazungumze Kiingereza ili kuitukana vyema nchi kwa "mabwana" lakini waandishi wale cha ajabu wakagoma wakataka Kiswahili. Pakawa na panic kidogo kwa waandaaji.

Anyway, ukiacha hilo huyu atakuwa mgonjwa wa kwanza duniani kwa aina ya tukio baya na kubwa kama lile kumtokea lakini bado akiwa wodini akaitisha press conference na kuongea meengi mengine yakiwa yametokea akiwa hana kumbukumbu lakini nayo akataka kuyaeleza kwa ufasaha usiowezekana.

Ni uhuru wake lakini mambo kadhaa yanatafakarisha:

Mgonjwa huyu analalamikia na kuhalalisha kuwa wakubwa hawakumjulia hali hata kwa kutoa tamko tu tangu apate matatizo hayo.

Kama kawaida katika hilo akaanza kumlaumu Rais.Facts check iko clear Rais alikuwa miongoni mwa viongozi wa kwanza kutoa tamko na kulaani kitendo hicho na akaagiza vyombo vya dola kulifuatilia.

Rais Magufuli baada ya kupata taarifa za shambulio dhidi ya Tundu Lissu – millardayo.com

Juzi Makamu wa Rais alikwenda Nairobi akamuona Lissu wodini na kusema katumwa na Rais na kwa msisitizo kuwa aliambiwa asiruke kurudi Tz bila kumuona Lissu na Lissu akashukuru sana kwa hilo na akiwa na bashasha tele akasema NAMSHUKURU SANA RAIS. Leo kasahahu!

Anamlaumu Spika wa Bunge kuwa hata siku moja hajawahi kumuona tangu alazwe, fact check zipo clear kwanza sio lazima Spika kuwatembelea wabunge wote waliolazwa nje ya nchi lakini pale Dodoma alipopatwa na tukio hili baya na akiwa anapata matibabu ya kwanza yaliyookoa maisha yake katika hospitali ya Serikali ya Dodoma Spika wa Bunge na Naibu Spika waliongoza wabunge kadhaa na hata mawaziri kwenda kumuona.Nafahamu hakuwa na fahamu wakati huo labda. Video ipo hapa.

Lakini kali zaidi ni kuhusu uchunguzi, Lissu anasema yeye na dereva wake ndio mashahidi wakuu lakini hawajahojiwa mpaka sasa.

Naamini Mhe Lissu hakuwa katika fahamu zake wakati kiongozi wa Chama Bw. Mbowe akijibu alipoombwa amlete dereva wa Lissu ahojiwa na akasisitiza haiwezekani kwani naye bado anapata matibabu ya "kisaikolojia." na hadi leo haijulikani kapona au bado.

Juzi katika mahojiano na Azam Lissu amekiri bado yuko naye dereva wake kule Nairobi akiwa kwa sasa kama msaidizi wake pale wodini.So alishapona, anaendelea na kazi lakini hawamleti kuhojiwa na polisi ukweli ujulikane!

Jana Tundu Lissu kawahadaa wanahabari kuwa hajahojiwa mpaka sasa wala kuombwa kuhojiwa.Loh huyu babanaanza kuamini is a different case‍♂‍♂Juzi tu katika mahojiano maalum na AzamTV alisema Polisi wa Tanzania walifika kutaka kumhoji kupitia interpol yeye akakataa mpaka aletewe barua!!Mtu unayekata wabaya na watesi wako waumbuke unaanza na masharti?Lakini jana anasema hawajaja kabisa hata kutaka tu kumhoji.

Ni katika mazingira kama haya kwa kweli nakubaliana na ile falsafa ya hekima sana ya kuwa Mhe Lissu ni mgonjwa hivyo "kujibizana" naye kwa sasa ni kukiuka hata mila za Kiafrika ambapo wafu na wagonjwa huenziwa badala ya kukebehiwa.

At least yeye ni mgonjwa na yupo kwenye matibabu,mbona wewe mngonjwa na matibabu hutafuti?Stuka wahi hospitali kabla halibijawa mbaya.
 
Jamani nduguzanguni watanzania huyu Tundu Lissu bado ni mgonjwa na kauli zake zinazopingana zenyewe inaonyesha hata akili yake imecheza kwa maana ya kwamba haijakaa sawa .Mambo anayoyaongea siyo ya kuyafuatilia na kuyatillia maanani.Na ndiyo maana hata katika imani nyingine mgonjwa aliyechanganyikiwa akiandika wosia wake unapuuzwa.
Mhmm! Mkuu kawahi matibabu bwana
 
Mbona mna wagonjwa wengi japo hawajalazwa ila kila sku wapo kwenye front pages?
 
Mgonjwa gani anaelazimisha kutembelewaa hata Baba wa Taifa alilazwa London na siyo wote waliofanikiwa kwenda kumuona sembuse huyu msalitiii, yeye kazi kulalamika tu, analilia msaada wa Serikali huku walishasema chama kina uwezo jinga zao kabisa
 
HOFU YANGU NI ILE RISASI ILIYOBAKI MWILINI, MUNGU AEPUSHE MBALI ISIWE IMEBAKI KICHWANI MAANA SIKU IKISOGEA KIDOGO TU ANAWEZA KUWAAIBISHA WATU HUMU KWA KUFUATA MKONDO WA MADIWANI WANAOZIDI UFAHAMU UKWELI NA KUJIUNGA NA JESHI KUBWA. RAFIKI ZANGU SIJUI MTAANDIKA NINI. NAWAZA TU KWA KINA.
 
Aliyekutuma ni mjinga lakini wewe ni mjinga zaidi.
Mama Samia alipitia kumuona Mh. Lissu by the way…. Haikuwa rasmi safari ilikuwa kuhudhuria kuapishwa Rais Kenyatta.
Huyo anayedai kuwa Lissu ni mgonjwa ana fani gani? Wendawazimu wengi wamepata vyeo katika awamu hii... Vichaa wamekuwa wanawashwa wakisikia mh. Lissu amepata nafuu au bado yupo hai... Mliotaka kumua Tindu Lissu mungu anawajua na bahati nzuri bado mnazalisha wanawake wa wenzenu kwa kutumia madaraka mliopewa na watanzania… miaka kumi sio mingi ya kujitoa uelewa.
Tunavisubiri vichanga vyenu…. Vitabeba uhaini wenu!
Dalili yakuwa na cheti fake, njaa imehamia kichwani
 
Watu wengine wanafiki, anakuua huku anacheka,samia alikwenda baada ya kuona aibu kufika Nairobi kwa ajili ya kuapishwa rais uhuru na kurudi bila kupitia kwa Lissu,
Huyo Lissu ndio nani mpaka asalimiweee shiiit acheni ujingaa kulamisha watu wafanye fadhila
 
kati ya mambo ambayo chadema wamekosea, ni ule mkutano wa jana waliouandaa kwa ajili ya kuitukana serikali.
 
Haraka? anaandika Political Jurist_*

Jana Mhe Tundu Lissu amezungumza na wanahabari huku yeye na Salim Mwalimu wa Chadema wakibishana hadharani kuhusu lugha ya kutumia.

Kwa nia ovu waliyokuwa nayo dhidi ya Serikali yao wenyewe inaonekana walijiandaa wazungumze Kiingereza ili kuitukana vyema nchi kwa "mabwana" lakini waandishi wale cha ajabu wakagoma wakataka Kiswahili. Pakawa na panic kidogo kwa waandaaji.

Anyway, ukiacha hilo huyu atakuwa mgonjwa wa kwanza duniani kwa aina ya tukio baya na kubwa kama lile kumtokea lakini bado akiwa wodini akaitisha press conference na kuongea meengi mengine yakiwa yametokea akiwa hana kumbukumbu lakini nayo akataka kuyaeleza kwa ufasaha usiowezekana.

Ni uhuru wake lakini mambo kadhaa yanatafakarisha:

Mgonjwa huyu analalamikia na kuhalalisha kuwa wakubwa hawakumjulia hali hata kwa kutoa tamko tu tangu apate matatizo hayo.

Kama kawaida katika hilo akaanza kumlaumu Rais.Facts check iko clear Rais alikuwa miongoni mwa viongozi wa kwanza kutoa tamko na kulaani kitendo hicho na akaagiza vyombo vya dola kulifuatilia.

Rais Magufuli baada ya kupata taarifa za shambulio dhidi ya Tundu Lissu – millardayo.com

Juzi Makamu wa Rais alikwenda Nairobi akamuona Lissu wodini na kusema katumwa na Rais na kwa msisitizo kuwa aliambiwa asiruke kurudi Tz bila kumuona Lissu na Lissu akashukuru sana kwa hilo na akiwa na bashasha tele akasema NAMSHUKURU SANA RAIS. Leo kasahahu!

Anamlaumu Spika wa Bunge kuwa hata siku moja hajawahi kumuona tangu alazwe, fact check zipo clear kwanza sio lazima Spika kuwatembelea wabunge wote waliolazwa nje ya nchi lakini pale Dodoma alipopatwa na tukio hili baya na akiwa anapata matibabu ya kwanza yaliyookoa maisha yake katika hospitali ya Serikali ya Dodoma Spika wa Bunge na Naibu Spika waliongoza wabunge kadhaa na hata mawaziri kwenda kumuona.Nafahamu hakuwa na fahamu wakati huo labda. Video ipo hapa.

Lakini kali zaidi ni kuhusu uchunguzi, Lissu anasema yeye na dereva wake ndio mashahidi wakuu lakini hawajahojiwa mpaka sasa.

Naamini Mhe Lissu hakuwa katika fahamu zake wakati kiongozi wa Chama Bw. Mbowe akijibu alipoombwa amlete dereva wa Lissu ahojiwa na akasisitiza haiwezekani kwani naye bado anapata matibabu ya "kisaikolojia." na hadi leo haijulikani kapona au bado.

Juzi katika mahojiano na Azam Lissu amekiri bado yuko naye dereva wake kule Nairobi akiwa kwa sasa kama msaidizi wake pale wodini.So alishapona, anaendelea na kazi lakini hawamleti kuhojiwa na polisi ukweli ujulikane!

Jana Tundu Lissu kawahadaa wanahabari kuwa hajahojiwa mpaka sasa wala kuombwa kuhojiwa.Loh huyu babanaanza kuamini is a different case‍♂‍♂Juzi tu katika mahojiano maalum na AzamTV alisema Polisi wa Tanzania walifika kutaka kumhoji kupitia interpol yeye akakataa mpaka aletewe barua!!Mtu unayekata wabaya na watesi wako waumbuke unaanza na masharti?Lakini jana anasema hawajaja kabisa hata kutaka tu kumhoji.

Ni katika mazingira kama haya kwa kweli nakubaliana na ile falsafa ya hekima sana ya kuwa Mhe Lissu ni mgonjwa hivyo "kujibizana" naye kwa sasa ni kukiuka hata mila za Kiafrika ambapo wafu na wagonjwa huenziwa badala ya kukebehiwa.

Tafuta Muda uende kwenye Mitandaoni ya Jamii sina kinachoendelea Zimbabwe.Mpaka watoto wa Mugabe wanashtakiwa lea kosa la kutumia kibaya Madaraka,kuua na kuiba.

Subirini same yenu
 
Jamani nduguzanguni watanzania huyu Tundu Lissu bado ni mgonjwa na kauli zake zinazopingana zenyewe inaonyesha hata akili yake imecheza kwa maana ya kwamba haijakaa sawa .Mambo anayoyaongea siyo ya kuyafuatilia na kuyatillia maanani.Na ndiyo maana hata katika imani nyingine mgonjwa aliyechanganyikiwa akiandika wosia wake unapuuzwa.

Vipi kuhusu yule aliyekiri hadharani kuwa ana frustration naye anafaa kupuuzwa kwa sababu kila alisemalo ni matokeo ya frustration zake?
 
Haya ndiyo madhara ya kupata madaraka kwa kusukumizwa. Vunja katiba, teka, shoot, poteza,
 
Back
Top Bottom