Hakiba kibindoni

Jamani leo ijumaa kuu Bwana yesu anateswa mbona hivyoooo!!!!!
 
Majaribu ni mtaji. Nimelishinda hili moja..!
 
Duu hilo shundu na ijumaa kuu hii mbona majaribu makali hivyo dakika za majeruhi za kwaresma!
 
Duuh likipasuka haponi mtu hapo.
 
Hii inanikumbusha ile Video ya Chinese Warehouse....... Hapa Mchina kajijaza si kawaida.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…