Haki za wanyamakazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki za wanyamakazi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ommsal, Apr 22, 2011.

 1. o

  ommsal New Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wadau.
  Katika pitapita zangu baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa nimejionea jinsi wanyama kama punda na ng'ombe wakifanyishwa kazi ngumu sana!!!, na inashangaza kuona wanaadamu tunafanya ukatili mkubwa kwa wanyama hawa, Naomba kujua haki na vyombo vinavyohusika kutetea haki za wanyama kazi hawa!!

  Naomba kuwasilisha hoja.
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kuna blogu inadeal na haki za wanyama unaweza kupata information zaidi: Haki za Wanyama
   
Loading...