Haki za wanyama: Tunaelekea wapi jamani?

Haki za wanyama: Tunaelekea wapi jamani?

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
652

Attachments

  • usafiri.jpg
    usafiri.jpg
    76 KB · Views: 88
Sioni ubaya wowote hapo zaidi ya jamaa kuonyesha ubunifu wa hali ya juu!!
 
Tuanelekea wapi?? haki za wanyama zi wapi?? nalo hili tutalaumu wazungu??

Nguli sijakuelewa haki ya mnyama iko wapi wakati jamaa kaonyesha mfano? Anakwenda umbali mrefu na mnyama wake lazima atakuwa amechoka so inabidi ambebe maana yeye si kabebwa na baiskeli? lol
 
Haki za wananchi tumeshindwa kuzitetea tuna kimbilia tayari haki za wanyama.
 
Nguli sijakuelewa haki ya mnyama iko wapi wakati jamaa kaonyesha mfano? Anakwenda umbali mrefu na mnyama wake lazima atakuwa amechoka so inabidi ambebe maana yeye si kabebwa na baiskeli? lol

Tatizo sio kumbeba kambebaje?? huoni anaumia? Miguu(phyisique) ya huyo mnyama haisupport kubebwa mgongoni lazma anumia sis binadamu tunaweza due to our phyisique
 
Nyani....huu ni ubunifu? huyu mnyama haumii??

Sioni kama kafungwa kamba...angekuwa amefungwa kamba ningesema pengine labda anaumia. Lakini kwa muonekano wa hiyo picha, inaonekana kama vile mbuzi kamshikilia jamaa. So whats the fuss?
 
Haki za wananchi tumeshindwa kuzitetea tuna kimbilia tayari haki za wanyama.

kama tuki fail kumanage wanyama tutaweza vipi haki za wanyama? na kwa nini tuwe selfish wao hawatakiwi kuishi kwa furaha??
 
Sioni kama kafungwa kamba...angekuwa amefungwa kamba ningesema pengine labda anaumia. Lakini kwa muonekano wa hiyo picha, inaonekana kama vile mbuzi kamshikilia jamaa. So whats the fuss?

Angalia hiyo picha vizuri na Mbuzi atashika vipi wakati anakwato?
 
kama tuki fail kumanage wanyama tutaweza vipi haki za wanyama? na kwa nini tuwe selfish wao hawatakiwi kuishi kwa furaha??

Hiyo haki ya mnyama inaanza na kuishia wapi? Maana kila siku ng'ombe, mbuzi, kuku, na wengineo wanapoteza maisha kwa kuchinjwa. Je, wanyama hao hawana haki ya kuishi? Au ikija kwenye kitoweo kuna "exception"?
 
Back
Top Bottom