Hassani, you have a point to make. Lakini ukisema unatoa tamko ukiulizwa kwa niaba ya nani utasemaje? Naona umeiweka kisiasa zaidi. Ila nami nalaani saana tabia ya mashoga ambayo inalaaniwa kwa mwanaume kwenda kwa mwanume, the reverse wanaita tiGo.Natoa tamko la kulaani vikali uwepo wa bwabwa katika jf,watu kama nyie ndo mnaoleta laana katika nchi na kusababisha majanga ya asili yasiyoisha.
Sikubaliani na wazo kuwa kuna watu wanazaliwa wakiwa na hormones za kuwafanya wawe mashoga. Hii ni tabia ambayo mtu anaianza taratibu na akifanywa/fanya mara mbili tatu basi, anayefanywa anaanza kuwa na mdudu washa na napenda awe anakunwa mara kwa mara na hapo ndipo anakuwa shoga. Kama kuna anayebishi, kwanza ajitathmini mwenyewe aone kuwa hana hizo hormones za ushoga, halafu aamue kuanza kulawitiwa. Mara ya kwanza atapata maumivu (kama wayapatayo wasichana), avumilie tu, mara mbili, tatu atasikia anaanza kuwashwa na kutaka kukunwa - Tayari-shoga! Haya ya kurembua macho na kujilegeza inatokana na wao kuzoea na kutaka kuwavutia wanaume.
La msingi ni kwamba hawa watu wajitokeze tuwasaidie namna ya kuachana na ushoga, Kwa kweli kwa sasa tuwaombee ili waache.
Hivi kama hamjui mfumo wa Umoja wa Mataifa usipokuwa gay siyo rahisi kupanda kufikia vyeo vya juu. Ukichunguza utagundua kuwa Perez De Cuellar aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa UN alikuwa gay na alikuwa hana mke. Vivyo hivyo Kofi Annan yumo humo na wengine wengi tu. Ndiyo maana agenda ya gays ukiendea kijazaba utashangaa unaishia kupiga kelele. Muulize M7 kafikia wapi. Si kanywea. Hata hawa akina Mokiwa na Malasusa hizo ni kelele za jukwaani. Thubutu wajitenge.
ndugu masanilo. Huyo kofi annan aliwahi kufumaniwa ofisini unhcr geneva, akimshughulikia mwanaume mwenzie. Sawa anaweza asiwe gay lakini bisexual. Tafiti
Ndugu Masanilo. Huyo Kofi Annan aliwahi kufumaniwa ofisini UNHCR Geneva, akimshughulikia mwanaume mwenzie. Sawa anaweza asiwe gay lakini bisexual. Tafiti
Ndugu Masanilo. Huyo Kofi Annan aliwahi kufumaniwa ofisini UNHCR Geneva, akimshughulikia mwanaume mwenzie. Sawa anaweza asiwe gay lakini bisexual. Tafiti